Kinga kingdom
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 769
- 845
Habari zenu wana ukawa wote duniani!!!
Ninaomba kuwapongeza viongozi wote na wanachama wote wa upinzani waliounda umoja huu, pia nitambue mchango wenu katika kukuza democrasia nchini.
Kwa hakika umoja wenu wa mwaka 2015 ulileta ushindani mkubwa na mafanikio makubwa sana katika uchaguzi na hadi kuwafanya kuchukua viti vingi vya ubunge na nafasi zingine!!! Tumeshuhudia kwa mara ya kwanza upinzani Kupeleka WABUNGE wengi bungeni Hongereni Sana.
Baada ya hapo taifa limekua kwenye Vita kubwa Sana ya kuhakikisha democrasia Au upinzani unakufa Tanzania na hii tumeona viongozi watawala wakitamka hadharani bila kuogopa yeyote..
Tumeshuhudia wabunge wakipigwa risasi,tumeshughudia kwenye chaguzi raia wakipigwa na Kujeruhiwa vibaya..Tumeshuhudia watu wanaopingana na watawala wakitekwa....
Pamoja na hayo tunaona wananchi wakilalamika Ugumu wa uchumi... Nimefanikiwa kutembea Tanzania nzima na kwakua kazi yangu inaniruhusu kufanya maswali na watanzania wenzangu nimeshughudia Kila mtu akilia na Ugumu wa maisha.....
OMBI KWA UKAWA:NIMESIKIA VIONGOZI MKITAKA KUSUSIA UCHAGUZI MDOGO HAPO MWAKANI JANUARY.....
MIMI NAONA TUTAWAPA NAFASI YA HAWA CCM KUTAWALA MAPEMA SAAANA NAOMBA TUKUBALI KUINGIA KWENYE KAMPENI NA TUKALINDE KULA ZETU WENYEWE!!! SIKU WATAKAPO ANZISHA FUJO AU KUPINDUA MATOKEO KAMA KAWAIDA YAO TUTAJUA JINSI YA KUKABILIANA NAO KWENYE UCHAGUZI WA 2020....
TUSIZIMIE MOYO WAO WANATAJA MAGARI NA FARASI NA SI TUNAE MUNGU ALIYE HAI
ENYI VIZAZI VYA UHARIBIFU, JE KUNA MTU MIONGONI MWENU AISHIE KWA AMANI KATIKA UOVU NA UONEVU?
LET US GO FOR ELECTION:MSIRUDISHE MAJESHI NYUMA!!
CC:ALL UKAWA MEMBERS:
KING