Ukawa mpeni kijiti cha Urais Lissu mgombea mwenza awe Fatma Karume

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,012
8,358
Ukawa ikikubar wazo langu wallah nasema ccm itashinda ila watakiona cha moto!

Nasema na narudia tena utakuwa uchaguzi wenye hhistoria kubwa sanaa hata kama hamtoingia Ikulu ila mtawachachafya sanaaa na pishapu sasa zitapigwa kila pahala.

Mbowe na wenzako pokea ushauri wangu tukutane 2020 pale jangwan kweny uzinduzi wa kampeni
 
Lowasa apumzike apewe kazi nyingine akalee vitukuu..... hawa wakipewa ni majembe kweli kweli uraisi ni mgumu sana si lele mama.
 
Inaeza ikawa ni timu nzuri kwa UKAWA.
Uchaguzi wa Wagombea Sahihi ni tatizo kubwa kwa Vyama vya Ushindani.
Mara nyingi wapigakura wanaangali mtu na sio chama.
Magufuli aliisaidia CCM kushinda kwenye uchaguzi uliopita.
Mrema pia enzi zake ailiisaidia NCCR kupata kura nyingi.
Lissu na Karume wanaweza kuongeza kura kwa washindani wa CCM
 
Ukawa ikikubar wazo langu wallah nasema ccm itashinda ila watakiona cha moto!

Nasema na narudia tena utakuwa uchaguzi wenye hhistoria kubwa sanaa hata kama hamtoingia Ikulu ila mtawachachafya sanaaa na pishapu sasa zitapigwa kila pahala.

Mbowe na wenzako pokea ushauri wangu tukutane 2020 pale jangwan kweny uzinduzi wa kampeni
Wazo bora kabisa!Zanzibar maalim seif kama kawaida
 
Strategy ya upinzani.iwe mwaka 2025 ,kwa akili ya kawaida hizi hazina zitumike.mwaka 2025 maana mwaka 2020 Magufuli hawezi achia ikulu

Na mkiwaweka lissu na Fatma 2020 mtakuwa mme demoralize , maana hawatashinda na CCM wanaweza pata 90% hata kwa magoli ya mkono, nao watapoteza ushawishi kwa watu kama ilivyokuwa kwa wapinzani waliopita wakishindwa mara moja huchokwa, cc Mrema, Lipumba, Lowassa
 
Ukawa ikikubar wazo langu wallah nasema ccm itashinda ila watakiona cha moto!

Nasema na narudia tena utakuwa uchaguzi wenye hhistoria kubwa sanaa hata kama hamtoingia Ikulu ila mtawachachafya sanaaa na pishapu sasa zitapigwa kila pahala.

Mbowe na wenzako pokea ushauri wangu tukutane 2020 pale jangwan kweny uzinduzi wa kampeni
Naunga mkono hoja! Uchaguzi wa 2015 umetupatia mafunzo mengi, miongoni mwake ni hatari ya kuchagua Rais kutoka kabila lenye watu wengi...
 
Ukawa ikikubar wazo langu wallah nasema ccm itashinda ila watakiona cha moto!

Nasema na narudia tena utakuwa uchaguzi wenye hhistoria kubwa sanaa hata kama hamtoingia Ikulu ila mtawachachafya sanaaa na pishapu sasa zitapigwa kila pahala.

Mbowe na wenzako pokea ushauri wangu tukutane 2020 pale jangwan kweny uzinduzi wa kampeni
Good Idea
 
Nakukumbusha tu mtoa posti,ccm wamewahi kushinda chaguzi mbili tu tangu kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi hapa Tz,na hizo chaguzi mbili walishinda kwa mbinde sana ( kwa mkapa walishinda moja na kwa kikwete walishinda moja)
So,these motherfuckers are not depending on voters!
 
Back
Top Bottom