Ukawa mpeni kijiti cha Urais Lissu mgombea mwenza awe Fatma Karume | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukawa mpeni kijiti cha Urais Lissu mgombea mwenza awe Fatma Karume

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by sifi leo, Apr 15, 2018.

 1. sifi leo

  sifi leo JF-Expert Member

  #1
  Apr 15, 2018
  Joined: Mar 30, 2012
  Messages: 1,991
  Likes Received: 1,542
  Trophy Points: 280
  Ukawa ikikubar wazo langu wallah nasema ccm itashinda ila watakiona cha moto!

  Nasema na narudia tena utakuwa uchaguzi wenye hhistoria kubwa sanaa hata kama hamtoingia Ikulu ila mtawachachafya sanaaa na pishapu sasa zitapigwa kila pahala.

  Mbowe na wenzako pokea ushauri wangu tukutane 2020 pale jangwan kweny uzinduzi wa kampeni
   
 2. imhotep

  imhotep JF-Expert Member

  #2
  Apr 15, 2018
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 7,563
  Likes Received: 5,474
  Trophy Points: 280
  Mumeshamfilisi Lowassa, sasa munataka na huyu mama mumtapeli.
   
 3. runna

  runna JF-Expert Member

  #3
  Apr 15, 2018
  Joined: Sep 6, 2014
  Messages: 327
  Likes Received: 661
  Trophy Points: 180
  Kama kura zitapigwa kwenye mitandao ya Kijamii kweli watachachafika..
   
 4. N

  Nainyo Member

  #4
  Apr 15, 2018
  Joined: Mar 28, 2018
  Messages: 69
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 25
  Lowasa apumzike apewe kazi nyingine akalee vitukuu..... hawa wakipewa ni majembe kweli kweli uraisi ni mgumu sana si lele mama.
   
 5. Che mittoga

  Che mittoga JF-Expert Member

  #5
  Apr 15, 2018
  Joined: Mar 28, 2017
  Messages: 1,619
  Likes Received: 1,566
  Trophy Points: 280
  Inaeza ikawa ni timu nzuri kwa UKAWA.
  Uchaguzi wa Wagombea Sahihi ni tatizo kubwa kwa Vyama vya Ushindani.
  Mara nyingi wapigakura wanaangali mtu na sio chama.
  Magufuli aliisaidia CCM kushinda kwenye uchaguzi uliopita.
  Mrema pia enzi zake ailiisaidia NCCR kupata kura nyingi.
  Lissu na Karume wanaweza kuongeza kura kwa washindani wa CCM
   
 6. MKWEPA KODI

  MKWEPA KODI JF-Expert Member

  #6
  Apr 15, 2018
  Joined: Nov 28, 2015
  Messages: 19,920
  Likes Received: 42,190
  Trophy Points: 280
  Hongera Wakili Fatma Karume "make love" not war!!
   
 7. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #7
  Apr 15, 2018
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 14,100
  Likes Received: 2,931
  Trophy Points: 280
  Wazo bora kabisa!Zanzibar maalim seif kama kawaida
   
 8. Zawadi B Lupelo

  Zawadi B Lupelo JF-Expert Member

  #8
  Apr 15, 2018
  Joined: Jul 19, 2015
  Messages: 2,062
  Likes Received: 2,783
  Trophy Points: 280
  Okay ushauri wako tutaupima
   
 9. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #9
  Apr 15, 2018
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 6,097
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 180
  Hivi hii kitu inayoitwa Ukawa bado ipo???
   
 10. Nathan Jr

  Nathan Jr JF-Expert Member

  #10
  Apr 15, 2018
  Joined: Sep 14, 2017
  Messages: 338
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 80
  Strategy ya upinzani.iwe mwaka 2025 ,kwa akili ya kawaida hizi hazina zitumike.mwaka 2025 maana mwaka 2020 Magufuli hawezi achia ikulu

  Na mkiwaweka lissu na Fatma 2020 mtakuwa mme demoralize , maana hawatashinda na CCM wanaweza pata 90% hata kwa magoli ya mkono, nao watapoteza ushawishi kwa watu kama ilivyokuwa kwa wapinzani waliopita wakishindwa mara moja huchokwa, cc Mrema, Lipumba, Lowassa
   
 11. sifi leo

  sifi leo JF-Expert Member

  #11
  Apr 15, 2018
  Joined: Mar 30, 2012
  Messages: 1,991
  Likes Received: 1,542
  Trophy Points: 280
  Uko vizur mkuu
   
 12. c

  chabusalu JF-Expert Member

  #12
  Apr 15, 2018
  Joined: Apr 29, 2016
  Messages: 6,134
  Likes Received: 3,543
  Trophy Points: 280
  Naunga mkono hoja! Uchaguzi wa 2015 umetupatia mafunzo mengi, miongoni mwake ni hatari ya kuchagua Rais kutoka kabila lenye watu wengi...
   
 13. N

  Ndikwega JF-Expert Member

  #13
  Apr 15, 2018
  Joined: Feb 1, 2012
  Messages: 4,573
  Likes Received: 2,031
  Trophy Points: 280
  Good Idea
   
 14. Magonjwa Mtambuka

  Magonjwa Mtambuka JF-Expert Member

  #14
  Apr 15, 2018
  Joined: Aug 2, 2016
  Messages: 11,473
  Likes Received: 6,403
  Trophy Points: 280
  Hawa jamaa mambo yakiwazidi wanajificha nyuma ya Ukawa, yakiwaendea vizuri wanajiita Chadema na kusahau Ukawa. Hawaeleweki.
   
 15. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #15
  Apr 15, 2018
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 39,043
  Likes Received: 30,770
  Trophy Points: 280
  Kwa combination hiyo CCM itachora chini
   
 16. monde arabe

  monde arabe JF-Expert Member

  #16
  Apr 15, 2018
  Joined: Oct 22, 2017
  Messages: 1,443
  Likes Received: 1,521
  Trophy Points: 280
  Nakukumbusha tu mtoa posti,ccm wamewahi kushinda chaguzi mbili tu tangu kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi hapa Tz,na hizo chaguzi mbili walishinda kwa mbinde sana ( kwa mkapa walishinda moja na kwa kikwete walishinda moja)
  So,these motherfuckers are not depending on voters!
   
Loading...