asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,028
Labda watangaze ushindi wa mapingamizi ila wa vituo vya kura washindi wanafahamika.
hiyo haijalishi, wameweka mapingamizi mengi ila wafahamu huku mtaani UKAWA ni wanatuongoza na hatuna mchezo na magamba.Ni swali muhimu na angalizo!
CCM ni wezi wasio na adabu.
Kuna uwezekano mkubwa matokeo ya jumla yakachakachuliwa na
TAMISEMI-GHASIA hii ya CCM.
Viongozi wa UKAWA mmejiandaaje kukabiliana na ghiliba hizo?
CC: SLAA, MNYIKA, LIPUMBA, MBATIA MBOWE.
CCM imeshinda kwa asilimia 89.35.
We anophelesi mbu uenezae malaria;
Matokeo ya jumla yatabadikisha wenyeviti wa mitaa na wajumbe?
Kasi si hvyo basi ushindi uliokwisha usikia ndio ushindi wenyewe.
Ushindi mwingine subiri Oct 2015.
Ni swali muhimu na angalizo!
CCM ni wezi wasio na adabu.
Kuna uwezekano mkubwa matokeo ya jumla yakachakachuliwa na
TAMISEMI-GHASIA hii ya CCM.
Viongozi wa UKAWA mmejiandaaje kukabiliana na ghiliba hizo?
CC: SLAA, MNYIKA, LIPUMBA, MBATIA MBOWE.
CCM imeshinda kwa asilimia 89.35.
mkuu usijisahau. Hivi sasa tunajiandaa kuipiga chini katiba waliyojipendekezea. Baada ya hapo ndo tunamaliza na uchaguzi mkuu 2015
Matokeo ya jumla maana yake nini?
Ukiwa na laki moja mfukoni ukapigwa kabari ukaporwa elfu 40 wewe unakuwa umegain nini hapo? Loser or winner?
kiangu A NA B yote chadema
mzee mtinko amezidi kura sita tuuuuu ushindi mwembamba
Kura zimepigwa vituoni na zimehesabiwa vituoni na matokeo yametangazwa vituoni, wewe mwenzetu unasubiri matokeo yepi?
NISIKILIZE VIZURI ...! Kabla ya Uchaguzi CCM walikuwa na Jumla ya viti vingapi nchi nzima. NA baada ya Uchaguzi CCM imeongeza idadi hiyo au imepunguza ... ? Kama huwezi jibu ..Muachie Hawa Ghasia tupu .. Ajibu kabla ya kujiuzulu kama alivyodai. ...
pia atwambie
1. kabla ya uchaguzi ccm ilikuwa na viti vingapi na upinzani vingapi?
2. ccm imeshinda vingapi kwanjia harari na upinzani vingapi kwa njia harari
3. atwambie ccm imepata vingapi kwa ujanjaujanja a.k.a mapingamizi
4. akifanya ya juu hayo 1-3, ndipo atupe na ushindi wa jumla wa chama cha mapingamizi (ccm)
Lazima tukubali kuwa viongozi wa vyama vya upinzani hawakufanya juhudi za kutosha katika matayarisho ya uchaguzi huu...na ccm inaendelea kutumia udhaifu huu kukaa madarakani.vyama vitumie ruzuku kujenga msingi katika ngazi za mitaa...vyama vyetu vinatumia style kama ya vyama vya ukombozi...hii si sahihi vyama viandikishe wanachama wengi na kuhakikisha wanatengeneza matawi ya chama hadi ngazi ya vitongoji..wananchi ngazi ya chini wamekosa uongozi lakini wapo tayari na tusilaumu ccm kwa ujinga
Ushindi wa jumla ni kwamba Chadema yaendelea kupumuliwa
Vijana ambao tunajitambuwa hatuhitaji uwanachama tunacho hitaji nikutomomeza wezi wa kubwa ccm kwa njia yoyote ile card na uwanachama ni venu bakini navyo nyie ccm jipeni ata card bure kama mlivyo jipa pesa kwa rumbesa na viroba sisi tupo mtaani tunawasubiri 2015Lazima tukubali kuwa viongozi wa vyama vya upinzani hawakufanya juhudi za kutosha katika matayarisho ya uchaguzi huu...na ccm inaendelea kutumia udhaifu huu kukaa madarakani.vyama vitumie ruzuku kujenga msingi katika ngazi za mitaa...vyama vyetu vinatumia style kama ya vyama vya ukombozi...hii si sahihi vyama viandikishe wanachama wengi na kuhakikisha wanatengeneza matawi ya chama hadi ngazi ya vitongoji..wananchi ngazi ya chini wamekosa uongozi lakini wapo tayari na tusilaumu ccm kwa ujinga