UKAWA, Mmejiandaaje kupokea majibu ya jumla ya matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa?!

anophelesi

JF-Expert Member
May 25, 2012
967
1,000
Ni swali muhimu na angalizo!

CCM ni wezi wasio na adabu.

Kuna uwezekano mkubwa matokeo ya jumla yakachakachuliwa na
TAMISEMI-GHASIA hii ya CCM.

Viongozi wa UKAWA mmejiandaaje kukabiliana na ghiliba hizo?

CC: SLAA, MNYIKA, LIPUMBA, MBATIA MBOWE.
 
Marytina

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
7,087
2,000
wachakachue MCC, EU, WB ziachie pesa.

CCM ni washindi wa jumla ila wametiwa pancha sana upepo hauwatoshi kutembea so UKAWA kama si 2015 basi 2020 WATAWAPITA
 
Matola

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
40,335
2,000
Ni swali muhimu na angalizo!

CCM ni wezi wasio na adabu.

Kuna uwezekano mkubwa matokeo ya jumla yakachakachuliwa na
TAMISEMI-GHASIA hii ya CCM.

Viongozi wa UKAWA mmejiandaaje kukabiliana na ghiliba hizo?

CC: SLAA, MNYIKA, LIPUMBA, MBATIA MBOWE.
Kura zimepigwa vituoni na zimehesabiwa vituoni na matokeo yametangazwa vituoni, wewe mwenzetu unasubiri matokeo yepi?
 
Raynavero

JF-Expert Member
Apr 29, 2014
37,511
2,000
Kwetu UKAWA ni ushindi mkubwa maana mwanzo watu hatukua kabisa kwenye ramani ya wenye viti wa serikali za mitaa jiulize eneo km mtwara leo hii kata ya mikindani CUF koteeeeee simu tupa chini
CCM mmepiga hatua nne mbele halafu mmerudi 20 haalafu mnajipongeza
hahahaaaaaaaa
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Raynavero

JF-Expert Member
Apr 29, 2014
37,511
2,000
kiangu A NA B yote chadema
mzee mtinko amezidi kura sita tuuuuu ushindi mwembamba
 
Elli Mshana

Verified Member
Mar 17, 2008
40,044
2,000
Kwa vyovyote iwavyo itakua ni ushindi tu. Maana kama hukua hata na Kijiji kimoja halafu ghafla leo unakua na vijiji tisa na mpinzani wako ana kimoja. Utaitaje kama sio ushindi???
 
kibogo

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
9,727
2,000
Ni swali muhimu na angalizo!

CCM ni wezi wasio na adabu.

Kuna uwezekano mkubwa matokeo ya jumla yakachakachuliwa na
TAMISEMI-GHASIA hii ya CCM.

Viongozi wa UKAWA mmejiandaaje kukabiliana na ghiliba hizo?

CC: SLAA, MNYIKA, LIPUMBA, MBATIA MBOWE.
Matokeo yepi ndugu? matokeo halali ni yale yaliyopatikana kwa upigwaji wa kura ila kama yatajumuishwa na yale ya mapingamizi ya wagombea wa CCM kupita bila kupingwa lazima CCM watajiona wameshinda
 
Chinga One

JF-Expert Member
May 7, 2013
10,510
2,000
Matokeo ya jumla maana yake nini?

Ukiwa na laki moja mfukoni ukapigwa kabari ukaporwa elfu 40 wewe unakuwa umegain nini hapo? Loser or winner?
kama ana akili timamu hili swali hato lijibu but kama kichwa chake kimejaa maji ya tezi dume atajibu kichwa kichwa bila kujua mantiki ya swali.
 
Twilumba

JF-Expert Member
Dec 5, 2010
7,588
2,000
Ni swali muhimu na angalizo!

CCM ni wezi wasio na adabu.

Kuna uwezekano mkubwa matokeo ya jumla yakachakachuliwa na
TAMISEMI-GHASIA hii ya CCM.

Viongozi wa UKAWA mmejiandaaje kukabiliana na ghiliba hizo?

CC: SLAA, MNYIKA, LIPUMBA, MBATIA MBOWE.
We anophelesi mbu uenezae malaria;
Matokeo ya jumla yatabadikisha wenyeviti wa mitaa na wajumbe?
Kasi si hvyo basi ushindi uliokwisha usikia ndio ushindi wenyewe.

Ushindi mwingine subiri Oct 2015.
 
Last edited by a moderator:

LENDEYSON

JF-Expert Member
Sep 27, 2013
2,975
2,000
Nilikuwa nikisubiri UKAWA kuzuia mafuriko kwa mikono km Nape alivyojitapa,kinyume chake ni kile wachambizi wa masuala ya kisiasa wanachokiita ushindani mkali kati ya ccm, cdm, na UKAWA in general.Poleni ccm, mapingamizi nayo yatafika mwisho tu!
 
ngajapo

JF-Expert Member
Jun 3, 2012
724
500
Ni swali muhimu na angalizo!

CCM ni wezi wasio na adabu.

Kuna uwezekano mkubwa matokeo ya jumla yakachakachuliwa na
TAMISEMI-GHASIA hii ya CCM.

Viongozi wa UKAWA mmejiandaaje kukabiliana na ghiliba hizo?

CC: SLAA, MNYIKA, LIPUMBA, MBATIA MBOWE.
hapo kaka ni kutafuta asilimia ya ushindi kwa kila chama kote nchini. lkn uchakachuaji hauwezi kutokea hapo maana matokeo yametangazwa kwenye kila eneo. CCM labda waje na propaganda za kuwahadaa wananchi kwamba bado wanapendwa lkn matokeo ni hukohuko kijijin/mtaa
 
afwe

JF-Expert Member
Oct 29, 2010
4,085
2,000
Ni swali muhimu na angalizo!

CCM ni wezi wasio na adabu.

Kuna uwezekano mkubwa matokeo ya jumla yakachakachuliwa na
TAMISEMI-GHASIA hii ya CCM.

Viongozi wa UKAWA mmejiandaaje kukabiliana na ghiliba hizo?

CC: SLAA, MNYIKA, LIPUMBA, MBATIA MBOWE.
Kura zimehesabiwa kwenye mitaa na washindi wametangazwa palepale atachakachua nini? kumdanganya nani?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom