UKAWA mkituangusha tena mwaka huu sitapiga tena kura maishani mwangu

mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
16,039
35,921
Fanyeni mnavyofanya kama ni goli la masaburi au tick tack sijui ila sisi kazi yetu kupiga kura tu tarehe 25 Oct 2015,

Tangu 1995 tumewavumilia mnatuamsha subuhi asubuhi kuwapigia kura wengine hawaendi makanisani mwaka huu wapinzani mkomae mpaka kieleweke vinginevyo sidhani tena kama kuna mtu ataamka asubuhi asubuhi mwaka 2020 na kwenda kuwapigia kura na na amini watanzania wenzangu pia watawakatia tamaa .
 
Yah lazima washinde, wakishindwa kulinda kura zetu ndo mwisho wa upinzan
 
Fanyeni mnavyofanya kama ni goli la masaburi au tick tack sijui ila sisi kazi yetu kupiga kura tu tarehe 25 Oct 2015,

Tangu 1995 tumewavumilia mnatuamsha subuhi asubuhi kuwapigia kura wengine hawaendi makanisani mwaka huu wapinzani mkomae mpaka kieleweke vinginevyo sidhani tena kama kuna mtu ataamka asubuhi asubuhi mwaka 2020 na kwenda kuwapigia kura na na amini watanzania wenzangu pia watawakatia tamaa .

Mkuu nimetoka kuongea na wife muda kuwa Watanzania mkiwapa tena CCM ushindi mwaka huu pamoja na vilio vyote vya miaka yote badala ya CHADEMA na UKAWA kiujmla, I swear kufanya haya baada ya matokeo:
-Kutopiga kura abadani the rest of my life
-Kutotoa msaada kwa mtu yeyote anayeshabikia CCM regardless ni nani kwangu maana hizi hali watakuwa wanafurahishwa nazo ila wanatusumbua sisi wengine tu na isitoshe wao ndiyo omba omba wa kutosha mfano. Amon Mpaju
-Kufanya ufisadi pale nitakapo pata furusa husika.
-nk.
Bila shaka Mimi, na familia yangu pamoja na wazee wangu kura zetu ni UKAWA.
 
Back
Top Bottom