UKAWA mkishika dola,mulikeni awamu ya tatu na ya nne

Nikukumbushe

JF-Expert Member
Jun 4, 2013
2,602
408
Namuomba Mungu CCM ianguke katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu na kukabidhi dola kwa UKAWA.

Sina hamu na CCM,chama kilichojaa wezi na mafisadi,wanatamba hadharani kuwa ni magamba sugu,wao ndio wenye nchi nk. Hatuwezi kuendelea kuwa chini ya hawa majizi.

Mfano Chenge kila kashfa yeye yumo,kila kashfa inayohusiana na wizi wa mali ya umma yeye yumo,kulikoni?

Na ikumbukwe kuwa Chenge amewahi kuwa waziri,mwanasheria mkuu wa serikali,mwenyekiti wa kamati ya bajeti nk.

Anajua hata waliompa vyeo hivyo nao ni wezi kama yeye,iweje awe na kiburi kiasi hiki halafu hata hachukuliiwi hatua za kisheria?

UKAWA mulikeni utawala wa Kikwete,Mkapa nk hawa ndio walioasisi mtandao wa mafisadi,haiwezekani watu wawe na kiburi kiasi hiki.

Hata hao wakubwa wao wanajua kuwa ni wezi na mafisadi, ndio maana huwezi kuwakuta wanazungumzia ufisadi na wizi,na wanaogopa kuwapeleka akina Chenge mahakamani kwa kuwa wanajua kuwa mtandao wa wezi na mafisadi utafunuliwa.

UKAWA mkishika dola muanze na mawaziri wa awamu ya nne,ya tatu tumechoka kudharauliwa na kuambiwa kauli za kijinga kama za Chenge.
 
Na hicho ndio kinachotufanya sie watawala tuhangaike kuweka mazingira ya wao kushindwa kuchukua dola.
UKAWA WAPIGWE TU.
 
Ndugu Yangu UKAWA mbona walisha shinda huu uchaguzi labda ccm wakatae kukabidhi ikulu lakini kwa tathimini ndogo tu wameshaingia ikulu na watawashughulikia
 
Ndugu Yangu UKAWA mbona walisha shinda huu uchaguzi labda ccm wakatae kukabidhi ikulu lakini kwa tathimini ndogo tu wameshaingia ikulu na watawashughulikia
Mbona unaongea kwa kujihami sana? Viroba bwana, ni kama mtu anayemteta mwenzake akiona anakuja anatimu mbio.
 
Ukawa lakuvunda mkuu ukawa hawana cha kuchukua labda wachukue nguo zeo tu.
 
Mbona unaongea kwa kujihami sana? Viroba bwana, ni kama mtu anayemteta mwenzake akiona anakuja anatimu mbio.
Bora ungekuwa unanifahamu vizuri ndipo ungepata jibu kwa nn naongea kwa kujihami wakati kikwete mwenyewe anawaza namna atakavyo mkabidhi Dr nchi na apati usingizi na vikao kila siku ambavyo aviishi namna atakavyo fanya kuinusuru ccm wewe umekaa unacheza na keyboard.
 
Hiyo ndiyo sera ya UKAWA? Waanze kumulikana wenyewe kabla hatujawakabidhi dola. Tuhuma zote kuanzia zile za kula wake za watu, kujilipa tenda za kutengeneza vitambulisho na kadi za Chama, kujenga majumba ya kifahari ufukweni kwa pesa za chama, kuanzisha vyombo binafsi vya habari kwa pesa za chama, kuhujumu pesa za website za chama n.k.
 
Mzinzi na fisadi SLAA au Mbowe atammulika nani? Pesa za ubunge tu anakwenda na demu Dubai.

Unazungumzia uzinzi upi? Nani tanzania hapa anamfikia mkuu wa magogoni kwa uzinzi, tena michezo yake michafu watu wanaijua...!
 
UKAWA imewashika pabaya ndio maana mnakuja na hujuma na kauli za kipuuzi kibao,ooh mara CHADEMA itakufa kabla ya 2014,mara movie fake ya ugaidi,mara mapingamizi,mara maandamano yanaleta ugaidi,ugaidi kwa upinzani tu? Foolish argument ever.
UKAWA ni sikio la kufa.
 
umeshakata ticket ya kuondoka octoba? kuwa macho mwezi huo wasafiri ni wengi wanaoikimbia nchi.
Wewe najua ni vuvuzela tu, kwanza humu umejiunga lini? Naona uko kwa kazi maalum. Alichokisema TataMadiba ni ukweli mtupu.
 
Ongezea na EPA,meremeta,Uuzaji wa NBC,Escrow,NIDA,Kashfa ya sukari,Bomba la Gesi,Richmond,uuzaji wa madawa ya kulevya,mauaji(mwangosi). Jiandaeni kisaikolojia,wenye mabawa watapaa wasio na mabawa tunamalizana hapa hapa tz,wewe endelea na kuchezea button za mchina.
Hiyo ndiyo sera ya UKAWA? Waanze kumulikana wenyewe kabla hatujawakabidhi dola. Tuhuma zote kuanzia zile za kula wake za watu, kujilipa tenda za kutengeneza vitambulisho na kadi za Chama, kujenga majumba ya kifahari ufukweni kwa pesa za chama, kuanzisha vyombo binafsi vya habari kwa pesa za chama, kuhujumu pesa za website za chama n.k.
 
UKAWA imewashika pabaya ndio maana mnakuja na hujuma na kauli za kipuuzi kibao,ooh ilara CHADEMA itakufa kabla ya 2014,mara movie fake ya ugaidi,mara mapingamizi,mara maandamano yanaleta ugaidi,ugaidi kwa upinzani tu? Foolish argument ever.
Kwani CHADEMA haijafa? Sasa hivi si kuna UKAWA? au haujui jina la chama kubasilika ndiyo kufa kwenyewe? CHADEMA ilishakufa na mpaka oktoba UKAWA nao watakuwa hawapo na watakuwa wamebak UKORA.
 
Back
Top Bottom