YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 51,992
Wabunge wa UKAWA toka bunge lianze hakuna hata mmoja aliyechangia kuzungumzia mambo ya jimboni kwake.Wamekalia kuongelea makorokoro kibao yasiyo husika na majimbo yao.
Poleni wapiga kura mliopoteza kura zenu kuwachagua.Fuatilia michango yote ya wabunge wa UKAWA kuanzia kiongozi wa upinzani bungeni,uje Mbatia,akina Msigwa,akina Godbless Lema,nk wote hamna kitu.Wanayoongea bungeni ni vipande tu vya magazetini na mitandaoni majimbo yao wala hawayaongelei.