tungependa kujua ni lini UKAWA itaandaa maandamano ya amani ya kulaani vitendo vya kinyama walichofanyiwa cuf hivi karibuni tumeona hasira za wabunge which are rightly so lakini nasi wananchi na wapenda amani tungependa
kuonyesha misimamo yetu kuwa hatukubaliani na unyama huuu please please.
tumeona ushirikiano mkubwa kati ya viongozi kisheria na kiutendaji lakini sisi wananchi tungependa
kuunga mkono mashirikiano hayo kwa maandamano makubwa ya kuwaonyesha polisi kwamba vitisho
vyao ni bure na havina uwezo wa kumtisha mtu yeyote na uthibitsho ni maelfu ya watu kwy maandamano.
PENDEKEZO
tungeomba maandamano hayo mgeni rasmi awe Prof.Lipumba na majina ya watu waliokamatwa na kujeruiwa
na polisi yatajwe/yasomwe hadharani na kama ikiwezekana kikapu cha UKAWA kipite kwa ajili ya kusaidia gharama za kisheria na kimatibabu zinazowakabili wahusika. Asanteni