UKAWA kuweni makini

The Elephant

JF-Expert Member
Dec 18, 2014
4,345
4,608
Nimefika kituoni saa kumi na moja asubuhi hapa Kahama shule ya Sekondari Nyasubi chakushangaza ni wasimamizi wale wakachukua meza ofisi za waalimu zikiwa zimefungwa droo.

Tukawaambia wafungue droo wakadai hawana funguo! Mgombea wa udiwani au ubunge fika eneo la tukio na haya madroo kama hakuna funguo zivunjwe ili kukagua.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom