Amoxlin
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 3,782
- 4,108
Habarini za asubuhi ndg zangu.
Kutokana na tamko la wabunge wa upinzani wanaounda UKAWA la kutohudhuria vikao vyote vya bunge vitakavyo ongozwa na mh. naibu spika, tutegemee nini endapo mh. Spika Ndugai hatokuwepo kabisa ktk vikao vilivyobaki?
Je wabunge hawa watabadili maamuzi yao au wataendelea kujiweka pembeni?
Natumai wakati utasema ila napenda kufahamu mawazo yetu sisi wana-jamvi.