Elections 2015 UKAWA kusimamisha mgombea Urais 2015

UKAWA hata wakisimamisha jiwe wataishinda CCM,wakimsimamisha Dr slaa ndiyo kabisaa itakuwa ni kama kumsukuma mlevi vile.

CCM imechoka mpaka basi inaufyata mpaka kwa wanachama wake iliyowapa card yenyewe wanapotakiwa kuchukuliwa hatua baada ya kuharibu.
 
Kiukweli ukiacha ushabiki maandazi, mtu mtiifu na pekee wa kuikwamua hii nchi, mwenye uchungu na matatzo yanayowakabiri watanzania, ni Dr. W. P. Slaa!!

Mtu huyu akitamka neno unaliona hadi rohoni mwake!!
 
Niwa na tumaini kubwa juu ya UKAWA,Rais wa 5 atakuwa ni kati ya
1.Dr Slaa
2.Tundu Lissu
Hawa ni viongozi waandamizi wa CHADEMA,Chama ambacho kinatarajiwa kumtoa mgombea urais kupitia UKAWA kutokana na uimara wa chama nchi nzima.
Tanzania ijiandae kuongozwa kiweledi kabisa na mmoja wa hawa makamanda.
 
Nadhani si dhambi kuwa critical katika choice ya prof Lipumba na Dr Slaa.Watu hawa record zao kwa wapiga kura nadhani ziko wazi na ni rahisi mtu yoyote kujua na anapendwa kwa wananchi.

Unaweza kusema maneno yako mazuri kuhusu Lipumba,labda ukasema ni Prof wa uchumi.Lakini at the end lazima kuangalia nani ata chagulika kirahisi zaidi.Kulifanyika uchaguzi 2010 na wote waligombea nani alipata kura nyingi?

Kulifanyika uchaguzi wa serikali za mitaa chama cha nani kilishinda zaidi?jibu ni kuwa cha Slaa.Katika hali ya udini ulivyo tembea wakati wa jk,Watanzania watakuwa makini sana kuhusu dini za wagombea.

Kumbuka kwa tafiti zilizopo wakristo ni 65%,na waislamu ni 30%.unaweza kuona itakuwaje kukiwa na uzingatifu wa dini.Hivyo Ukawa wata kuwa kwenye nafasi nzuri zaidi wakimweka Dr Slaa.
 
Kwa mujibu wa Gazeti la Mwananchi, UKAWA wana mpango wa kuweka Mgombea Urais 2015

- Aidha, wana mpango wa kusimamisha mgombea ubunge mmoja katika majimb
- Mbowe, Mbatia na Lipumba wazungumza na kudai ni mapema mno kutoa maelezo juu ya umoja wao!

- Vyama vimeshapeleka mapendekezo kwenye sekretarieti za vyama husika kwa ajili ya kufanyiwa uchambuzi wa kufanikisha hili

- Mbowe adai kuunganisha nguvu ya vyama vya upinzani ni suala ambalo halikwepeki kwakuwa Siasa za sasa ni dynamic (zinabadilika) na fikra za jana ni tofauti na za leo.

- Lipumba adai Katiba imewaunganisha wapinzani na kuongeza kuwa huu ni mwanzo mzuri unaoweza kutoa mwanga wa nini kitatokea mbeleni.

- Mbatia asisitiza kuwa suala la wapinzani kuungana si la kujadili maana ndiyo mahitaji ya wananchi kwa sasa!
Wewe ulitaka ile kwako?
 
Nadhani si dhambi kuwa critical katika choice ya prof Lipumba na Dr Slaa.Watu hawa record zao kwa wapiga kura nadhani ziko wazi na ni rahisi mtu yoyote kujua na anapendwa kwa wananchi.

Unaweza kusema maneno yako mazuri kuhusu Lipumba,labda ukasema ni Prof wa uchumi.Lakini at the end lazima kuangalia nani ata chagulika kirahisi zaidi.Kulifanyika uchaguzi 2010 na wote waligombea nani alipata kura nyingi?

Kulifanyika uchaguzi wa serikali za mitaa chama cha nani kilishinda zaidi?jibu ni kuwa cha Slaa.Katika hali ya udini ulivyo tembea wakati wa jk,Watanzania watakuwa makini sana kuhusu dini za wagombea.

Kumbuka kwa tafiti zilizopo wakristo ni 65%,na waislamu ni 30%.unaweza kuona itakuwaje kukiwa na uzingatifu wa dini.Hivyo Ukawa wata kuwa kwenye nafasi nzuri zaidi wakimweka Dr Slaa.

Kuna utamaduni na desturi imejengeka miongoni mwa wapiga kura na watanzania kwa ujumla.... Inaenda kizamu zamu, Akitoka Mkristo, anaingia muislamu.

haipo kwenye sheria..... ila ni utamaduni....
 
Hiyo sensa ya wakristo kuwa wapo asilimia 65%na waislamu 30% ilifanyika lini??acha kupotosha na data zako feki
 
Hivi mpaka sasa UKAWA hawajaanza mchakato wa kumpata mgombea wao..??
Au wanasubiri matokeo ya mnyukano ndani ya ccm??
 
Back
Top Bottom