Mlete mada umekurupuka aaaaaaaaagh, kwanini mnapenda kuwakurupusha mapema kabla mambo hayajaiva..........!? Ona sasa watakavyo copy na ku paste mda mfupi ujao. Next time kaa kimya wakutane nalo viwanjani.Taarifa zilizonifikia kutoka chanzo "maalum" na HAKIKA ni kwamba UKAWA wanaanda mkataba unaohusu ahadi na sera zao watakazozitoa kwa wananchi.
Ni kwamba, ikiwa ahadi zao hazitatekelezeka ndani ya miaka 3 WANYOFOLEWE MADARAKANI!! Mkatabahuo utasainiwa kati ya viongozi wa UKAWA na kusimamiwa na Asasi mbali mbali za kiraia na Haki za binadamu kwa niaba ya wananchi!!
Nimeambiwa wazo hilo lilitolewa na Dr Slaa na kuungwa mkono kwa nguvu na Mh. Mbatia kisha kupitishwa na viongozi bila kipingamizi huku wakimpa kazi Mh. Lisu na jopo lake kwa uhakiki!!
More to come...