UKAWA kusaini mkataba na wananchi siku ya ufunguzi wa kampeini

Taarifa zilizonifikia kutoka chanzo "maalum" na HAKIKA ni kwamba UKAWA wanaanda mkataba unaohusu ahadi na sera zao watakazozitoa kwa wananchi.

Ni kwamba, ikiwa ahadi zao hazitatekelezeka ndani ya miaka 3 WANYOFOLEWE MADARAKANI!! Mkatabahuo utasainiwa kati ya viongozi wa UKAWA na kusimamiwa na Asasi mbali mbali za kiraia na Haki za binadamu kwa niaba ya wananchi!!

Nimeambiwa wazo hilo lilitolewa na Dr Slaa na kuungwa mkono kwa nguvu na Mh. Mbatia kisha kupitishwa na viongozi bila kipingamizi huku wakimpa kazi Mh. Lisu na jopo lake kwa uhakiki!!

More to come...
Mlete mada umekurupuka aaaaaaaaagh, kwanini mnapenda kuwakurupusha mapema kabla mambo hayajaiva..........!? Ona sasa watakavyo copy na ku paste mda mfupi ujao. Next time kaa kimya wakutane nalo viwanjani.
 
Ccm wanalo mwaka huu!!!! Kama kweli UKAWA wakitoka na mbinu hii....basi ccm tuwaandalie sanda!!!
 
Na hili ndilo suluhisho la wanasiasa kuwahadaa wananchi

Ni Mbinu mpya ya kiutawala
 
Hakuna blah blah UKAWA wamejipanga kumkomboa mwananchi.baada ya miaka mitatu wananchi watapima kama kazi imefanyika ama laa.

Jamaa wanajiamini balaa!! Hii inaonyesha ni jinsi gani hawataki story kwenye utendaji wao!! Naamini serikali chini ya UKAWA itakuwa imara sana!!
 
Mlete mada umekurupuka aaaaaaaaagh, kwanini mnapenda kuwakurupusha mapema kabla mambo hayajaiva..........!? Ona sasa watakavyo copy na ku paste mda mfupi ujao. Next time kaa kimya wakutane nalo viwanjani.

Mkuu, tatzo hawa wenzetu hata hata wakicopy hawawezi kutekeleza!! Hili hawawezi kuliiga maana wanajua ni kitanzi kwao!!

Nawaombea UKAWA!!!
 
Hakuna ukawa wala Vitu Kama hivyo huo ni uongo wako umeutunga, NCCR wanasimamisha mgombea wao. Cuf nao Lipumba ndani na Chadema slaa naye
 
Taarifa zilizonifikia kutoka chanzo "maalum" na HAKIKA ni kwamba UKAWA wanaanda mkataba unaohusu ahadi na sera zao watakazozitoa kwa wananchi.

Ni kwamba, ikiwa ahadi zao hazitatekelezeka ndani ya miaka 3 WANYOFOLEWE MADARAKANI!! Mkatabahuo utasainiwa kati ya viongozi wa UKAWA na kusimamiwa na Asasi mbali mbali za kiraia na Haki za binadamu kwa niaba ya wananchi!!

Nimeambiwa wazo hilo lilitolewa na Dr Slaa na kuungwa mkono kwa nguvu na Mh. Mbatia kisha kupitishwa na viongozi bila kipingamizi huku wakimpa kazi Mh. Lisu na jopo lake kwa uhakiki!!

More to come...

Kama hii in kweli wapen nchi hawa jamaaa wakichemka wanasepa they have already declared this
 
Hakuna ukawa wala Vitu Kama hivyo huo ni uongo wako umeutunga, NCCR wanasimamisha mgombea wao. Cuf nao Lipumba ndani na Chadema slaa naye

mkuu kwa taarifa zilizopoukawa bado uko. inasadikika walikubaliana michakato ndani ya vyama iendelee kamakawaida ili baadae waje kupata mgombea mmoja wa ukawa. subiri mwishoni utaona hili ninalokwambia..
 
Back
Top Bottom