Gangongine
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 3,854
- 1,776
Katika Halmashauri zote walizoshinda UKAWA kama kweli kuna 'UKAWA' sasa, hakutakuwa na maendeleo ya maana kutokana na kulazimisha kuzifanyia majaribio Sera zao wakati kuna ILANI MAKINI ya Chama cha Mapinduzi iliyopangiliwa vizuri na kuandikwa na wenye weledi na uzoefu wa kutosha wa kuongoza Nchi hii. Majaribio ya Sera za UKAWA ndio yatazorotesha kabisa Maendeleo na WANANCHI watagundua muda si mrefu kwamba walifanya makosa kuwapa UKAWA Halmashauri hizo kwa kudanganywa na MABADILIKO ya kuzungusha mikono!!