mwengeso
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 9,227
- 6,666
Mada nyingi zimebandikwa humu JF na jamii nyingine, kuhusu utendaji wa Serikali ya Josoph Pombe Magufuli kwamba, pamoja na mambo mengi ba mengineyo, afuati sheria.
Leo hii mgombea wa urais kwa tiketi ya UKAWA, bado haamini kashindwa isivyo halali. Wanaomuunga mkono, na yeye mwenyewe, wanasema ni Rais wa mioyo ya Watanzania.
Tuamini kinachosemwa vibaya kuhusu Serikali ya Dr Magufuli kuwa ni sahihi na kinawakilisha mawazo na imani ya watanzania.
Nawaomba nguli wa sheria wa UKAWA, kama ni wana sheria kweli, waende mahakamani kwenye haki. Waache majukwaa ya siasa kwa kuwa uchaguzi umekwisha.
Dr Magufuli ana miaka 10 ya utawala, wapinzani wajiandae na kujifunza kufanye naye kazi, kwa kauli mbiu yake ya "hapa ni kazitu#". Kwake hakuna cha uundaji wa Kamati kuchunguza maovu wakati kuna vyombo rasmi vya kisheria kufanya kazi hiyo. Aliyeonewa atumie njia halali na rasmi kudai haki na siyo kutumia jukwaa la kisasa.