UKAWA kufanya mkutano Mbeya

nendeni mkasikilize sauti ya mungu ikisikika toka nyikani,hakuna aliyeshindana na mungu aliyewahi kushinda wote waliambulia aibu
 
kama mambo ndio hayo, kila mahali moto (Ukawa) kwanini Kinana na Nape wasinywe mataputapu? na wenye uwezo kama mkuu wa kaya kuishi Ugaibuni?
 
Napenda xana vjana wanaojadl mantk name co propaganda xaxa wew ulietoa maana ya ukawa hapo juu inamantk gan au naw n gamba ulietumwa kuharibu ukawa bila hoja za mcng?
 
attachment.php


UKAWA Kwa CCM ni kama Roba ya mbao - hakuna kufurukuta: mwendo mdundo makamanda - wataelewa tu.
 
Back
Top Bottom