Elections 2015 UKAWA Kigoma waingia katika mgogoro

Yatarekebishwa baadae kwani mmoja anaweza kuwaaambia wapiga kura kura zake ziende kwa nccr
 
Hii migogoro huwa haishi hivi hivi....sasa hapa ukijiuliza yule mgombea aliyekuwa NCCR yuko wapi?hutapata jibu badala yake wanashutumiwa CCM POLISI TUME NA KINA MJUSI.
 
tindo hivi kipindi UKAWA walivyomuandaa mgombea wa NCCR jimboni humu si ilimaanisha anayekubalika ni mtu wa NCCR?sasa awamu hii mnategemea vipi mtu wa CHADEMA ASHINDE??
 
tindo hivi kipindi UKAWA walivyomuandaa mgombea wa NCCR jimboni humu si ilimaanisha anayekubalika ni mtu wa NCCR?sasa awamu hii mnategemea vipi mtu wa CHADEMA ASHINDE??

Mkuu kwa bahati mbaya sijajikita kwenye uchaguzi wa jimbo moja, mimi nazungumzia mwenendo mzima wa uchaguzi kwa box la kura kutokuheshimiwa. Iwapo sheria hazifuatwi na mshindi hapatikani kihalali hilo linatoa mwanya kwa wengine kutojali hizo sheria. Huu mchezo wa kutojali sheria ndio umepelekea nachafuko sehemu nyingi duniani. Hivyo ni lazima hatua zichukuliwe kwa ajili ya amani yetu. Hii kampeni inapata yangu inapata uungwajj mkono mzuri sana.
 
Back
Top Bottom