lendila
JF-Expert Member
- Sep 26, 2012
- 5,806
- 4,370
UKAWA kazeni buti zaidi mmebakiza sehemu ndogo sana,kuifuta CCM nchini Tanzania
CCM wamebaki na kura za baadhi ya vijiji ambvyo havina umeme na shule bora,sehemu zote zenye shule bora na elimu nzuri hakuna kitu kinaitwa tena CCM,mijini hakuna tena CCM,kwa hiyo nawakikishieni kuwa mwaka 2020 mtaifuta CCM kabisa vijijini