UKAWA ingekuwa ni chama cha siasa

Lovebird

JF-Expert Member
Sep 27, 2012
5,768
7,689
Yaaaaanniiiiii kingeshapelekwa mahakamani na kufutwaaaa

1. Inabidi ifike mahali tutofautishe ushabiki wa siasa na mahitaji ya wananchi
2. Wananchi bado hawana uelewa wa nini maana ya Katiba (hatusomi) tunasubiri kuhubiriwa majukwaani
3. Fedha inayotumika ni kodi za wananchi...napata shida kuona hatufikiriii hili
4.

USHAURI

endapo bado hatujajiandaa na huu mchakato wa katiba MUPYA basi, iahirishwe tuwekeze kwenye Taaluma/afya / miundombinu nk
 
Ni kweli hatujajiandaa na katiba MUPYA ila tumejiandaa kupata MPYA
 
Back
Top Bottom