Mutakyamirwa
JF-Expert Member
- Jan 24, 2011
- 4,942
- 1,357
Tume ya uchaguzi ndo yenye jukukumu kikatiba kuandikisha, kuhakiki na kubandika majina ya wapiga kura. Jukumu hilo kwa hira za kisiasa linaonekana kuwalemea Lubuva na team yake. Chakusikitikisha UKAWA wameliona hilo na kuishia kulitolea tamko tu!
Tunataka vitendo.....mojawapo ya mambo ya kufsnya ni hilo hapo juu-Anza kuandikisha wapiga kura wenu.....iambieni mahakama, jeshi la wananchi na jeshi la polisi kuwa mnajivika jukumu hilo baada ya tume ya Lubuva kutaka kuindumbikiza nchi ktk machafuko pasipp sababu.
Wanajf...hivi ni sahihi UKAWA kishia ktk tamko na kusibii rehema za serikali ktk hili? Leteni mawazo mbadala....way forward.