UKAWA Aibu! Tena Makonda umedhihirisha: Meya wa Kinondoni Umechemka Sana Mzee

Pascal Ndege

JF-Expert Member
Nov 24, 2012
2,977
1,897
Baada ya Mbuge mmoja kushuku uelewa wa spika sasa Mwingine tena anawatetea wasiyo na ujuzi ama wamesahau material ama wanatumia udhaifu wa mamlaka, Kujenga barabara mbovu nakutoa kisingizio cha aibu kuabisha taaluma za makandarasi.

Nimeshangaa kuona ITV Meya wa chadema anaongea kwa confidence akiwalaumu wakina Makonda kwa kuwasimamisha makandarasi wachovu huku akiangaliwa na dunia nzima kupitia Tv mbalimbali.

Hivi huyo kandarasi amesoma wapi mpaka apewe michoro na kuimini na kuanza kujenga bila kufanya tathimini ya eneo. Yaani kwa taaluma ya ujenzi hata sehemu haijawahi kupitisha maji miaka 1000 iliyopita ukisoma tabia ya eneo utajua hapa mafuriko lazima yatakuja tu.

Angeomba eneo hilo lifanyiwe upembuzi yakinifu upya kabla ajajenga . Sasa kama huyo kandarasi kama akijenga gorofa si ataua watu ama daraja ni mauaji.

Ndio maana kuna somo la engineer drawings,Environmental Engineering kwa makandarasi.

President Shule imepanda kichwani nadhani kama alikuwa anaangalia TV alicheka kidogo kimchomekeo.
 
... Ndiomaa kuna somo la engineer drawings, Environmental Engineering kwa makandarasi...
Hii tu pekee imenifanya nitilie mashaka uelewa wako, kiasi cha kupuuzia yote uliyoandika. Unasema makandarasi wanasoma 'Engineer drawings' na 'Environmental Engineering'? Hivi hawa makandarasi, mbona ni wafanyabiashara tu wenye mitaji? Ngoja nikae kimya kwanza, labda nitajua humu chuo kinachowafundisha makandarasi
 
Hii tu pekee imenifanya nitilie mashaka uelewa wako, kiasi cha kupuuzia yote uliyoandika. Unasema makandarasi wanasoma 'Engineer drawings' na 'Environmental Engineering'? Hivi hawa makandarasi, mbona ni wafanyabiashara tu wenye mitaji? Ngoja nikae kimya kwanza, labda nitajua humu chuo
kinachowafundisha makandarasi
Hyu mleta mada anafikiri wakandarasi wote wanaopewa tenda wamesomea uhandisi kumbe watu wana mitaji tu,wana bid tender wnapata wanapiga mzigo....
Sema ubovu wa barabara nyingi za manispaa ni kujengwa chunk ya kiwango Na Hyo ni kutokana Na kutaka kubana fedhaaaa
 
Hii tu pekee imenifanya nitilie mashaka uelewa wako, kiasi cha kupuuzia yote uliyoandika. Unasema makandarasi wanasoma 'Engineer drawings' na 'Environmental Engineering'? Hivi hawa makandarasi, mbona ni wafanyabiashara tu wenye mitaji? Ngoja nikae kimya kwanza, labda nitajua humu chuo kinachowafundisha makandarasi

Kama ndio hivyo Tegemea makubwa kutoka kwa makandarasi awamu ya 5. kufungwa na kunyang'anywa Leseni. maana Sheria inahitaji lazima kuwepo na registered engineers katika company kabla ya kujenga barabara.
 
Hujasema Engineer, umesema mkandarasi anatakiwa awe amesoma hayo masomo. Rejea post yako
 
Pascal Ndege, heshima yako ni kubwa hapa jamvini.

Hiki ulichokiandika hakiendani na heshima yako hapa JF.

Mimi nimechukizwa na kile kitu bwana nimeandika kutokana na hasira tu. Siasa hizi zilikuwa za awamu ya nne ni muda sasa wakuwa na wisdom so kwenda kusoma kitu usiku na kutolea tamko. wazungu wanatucheka sipendagi mambo hii
 
Mh sijui nianzie wap Kwan huyo mkandaras alipewa tenda na nani. Manake mie naona Kuna siasa hapo
 
Baada ya Mbuge mmoja kushuku uelewa wa spika sasa Mwingine tena anawatetea wasiyo na ujuzi ama wamesahau material ama wanatumia udhaifu wa mamlaka, Kujenga barabara mbovu nakutoa kisingizio cha aibu kuabisha taaluma za makandarasi.
Nimeshangaa kuona ITV Meya wa chadema anaongea kwa confidence akiwalaumu wakina makonda kwa kuwasimamisha makandarasi wachovu hukuakiangaliwa na dunia nzima kupitia Tv mbalimbali. Hivi huyo kandarasi amesoma wapi mpaka apewe michoro na kuimini na kuanza kujenga bila kufanya tathimini ya eneo. Yaani kwa taaluma ya ujenzi hata sehemu haijawahikupitisha maji miaka 1000 iliyopita ukisoma tabia ya eneo utajua hapa mafuriko lazima yatakuja tu. Angeomba eneo hilo lifanyiwe upembuzi yakinifu upya kabla ajajenga . Sasa kama huyo kandarasi kama akijenga gorofa si ataua watu ama daraja ni mauaji. Ndiomaa kuna somo la engineer drawings,Environmental Engineering kwa makandarasi.

President Shule imepanda kichwani nadhani kama alikuwa anaangalia TV alicheka kidogo kimchomekeo.
Wewe ulie adika hii habari unaonyesha jinsi ambavyo hujui utaratibu wa tender za halmashauri na serikali kwa ujumla.
Kwa faida yako tender hutangazwa na unakwenda kununua kitabu chenye michoro na maelekezo yote.
Wewe unae omba tender husika unacho fanya ni kuisoma michoro na kuweka bei zako.
Ukishinda tender kinacho fuata ni kwenda kukabidhiwa site.
Sasa mkandarasi afanyeje zaidi ya alichotakiwa kufanya.
Kosa la Kinondoni liko kwa mhandisi wa manispaa na wasimamizi wa halmashauri na sio mkandarasi.
Meya yuko sahihi kwani mkandarasi lazima alipwe.
Na huwezi kuvunja mkataba bila kufuata taratibu. Acheni kumsifu Makonda wakati kachemka.
 
Mimi nimechukizwa na kile kitu bwana nimeandika kutokana na hasira tu. Siasa hizi zilikuwa za awamu ya nne ni muda sasa wakuwa na wisdom so kwenda kusoma kitu usiku na kutolea tamko. wazungu wanatucheka sipendagi mambo hii

Umechukizwa kwa hiyo kila anachofanya makonda ni sawa mnamsifia, akifanya mayor wa chadema mnaponda Hata kama ni kizur . Think twice acha kukurupuka.
 
Mh sijui nianzie wap Kwan huyo mkandaras alipewa tenda na nani. Manake mie naona Kuna siasa hapo
Jengo likianguka anakamatwa nani turudie hapo kwanza achana na kazi nani kampa kampa vipi rushwa na yote hayo hayahusu kuanguka kwa jengo Vivyohivyo kwenye barabara
 
Baada ya Mbuge mmoja kushuku uelewa wa spika sasa Mwingine tena anawatetea wasiyo na ujuzi ama wamesahau material ama wanatumia udhaifu wa mamlaka, Kujenga barabara mbovu nakutoa kisingizio cha aibu kuabisha taaluma za makandarasi.

Nimeshangaa kuona ITV Meya wa chadema anaongea kwa confidence akiwalaumu wakina Makonda kwa kuwasimamisha makandarasi wachovu huku akiangaliwa na dunia nzima kupitia Tv mbalimbali.

Hivi huyo kandarasi amesoma wapi mpaka apewe michoro na kuimini na kuanza kujenga bila kufanya tathimini ya eneo. Yaani kwa taaluma ya ujenzi hata sehemu haijawahi kupitisha maji miaka 1000 iliyopita ukisoma tabia ya eneo utajua hapa mafuriko lazima yatakuja tu.

Angeomba eneo hilo lifanyiwe upembuzi yakinifu upya kabla ajajenga . Sasa kama huyo kandarasi kama akijenga gorofa si ataua watu ama daraja ni mauaji.

Ndio maana kuna somo la engineer drawings,Environmental Engineering kwa makandarasi.

President Shule imepanda kichwani nadhani kama alikuwa anaangalia TV alicheka kidogo kimchomekeo.
Mm sijakuelewa bado,meya kasema nn?
 
Wewe ulie adika hii habari unaonyesha jinsi ambavyo hujui utaratibu wa tender za halmashauri na serikali kwa ujumla.
Kwa faida yako tender hutangazwa na unakwenda kununua kitabu chenye michoro na maelekezo yote.
Wewe unae omba tender husika unacho fanya ni kuisoma michoro na kuweka bei zako.
Ukishinda tender kinacho fuata ni kwenda kukabidhiwa site.
Sasa mkandarasi afanyeje zaidi ya alichotakiwa kufanya.
Kosa la Kinondoni liko kwa mhandisi wa manispaa na wasimamizi wa halmashauri na sio mkandarasi.
Meya yuko sahihi kwani mkandarasi lazima alipwe.
Na huwezi kuvunja mkataba bila kufuata taratibu. Acheni kumsifu Makonda wakati kachemka.

Shida yangu unapojenga mchoro tofatuti sehemu tofatuti si tatizo la mchoraji ni tatizo la mjenzi hiii imekaaa kitaluma na kisheria zaidi. Na egineer wa mkandarasi ndio wa kushitakiwa wa kwanza
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom