UKAWA acheni usongombwingo

Peter Dafi

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
388
270
UKAWA ACHENI USONGOMBWINGO

Uteuzi wa makatibu tawala wa wilaya umeibua taharuki..... Si taharuki kwa kuwa eti kweli ni taharuki bali kwa kuwa kuna watu nchi hii wako taharuki na akili zao ni kutafuta shari kila siku....

Uteuzi wa watawala hawa umezingatia weledi, uadilifu umakini na dhana ya kutimiza malengo ya pamoja tukiwa wa moja.

Kilichoonyeshwa na magazeti mengi pamoja na maoni ya WAPIGA DOM wa UKAWA ni wivu unaitwa USONGOMBWINGO..... Ni wivu wa Joka la Kibisa...... Linazingira miti ya matunda na kula haliwezi...... Hii ni akili mbovu kabisa.....

Uteuzi huo umezingatia uwezo wa kutekeleza malengo ya pamoja kwa mlengo mmoja yaani GOAL CONCLUENCY kwa maana tumepata makatibu tawala wanaoimba wimbo mmoja na kuruka pamoja na kutua pamoja na Rais, waziri, RC, DC na wenye ilani yao Chama Cha Mapinduzi.....

This time hatujafunga mazee..... Yaani tumeondoa tatizo la rangi rangi sasa kama kuna mtu haridhiki afanye jambo moja tu.... Akasikilize nyimbo za Saida Karol atagundua kuwa yampasa AJINYONGE

Nitumie ukurasa huu kuwaasa, kuwaonya na kuwakanya wapotoshaji wote.... Kwamba tutafika ukomo wa kuwavumilia..... Sasa mumekosa hoja..... Badala ya mngekuja labda mseme walioteuliwa hawana weledi.... Mnakurupuka eti wameteuliwa Makada....... Kazi ya HAPA KAZI TU mlitaka wateuliwe JANJAWEED (Yaani wagonga viroba na Bangi)????? NO WAY......

Waandishi wa habari wachache mnaotumia kurasa za magazeti KUPOTOSHA mantiki na ukweli...... Tumieni kurasa hizo kuelewesha Umma...... Mbona inawezekana........

Wanasiasa UCHWARA nyie UKAWA kwenu sina hata la kuwaomba bali kuwaamrisha mkae kimya maana nyie blue kwenu ni nyeusi iliyofifia, Njano ni nyekundu ikiwa mbali mkiona nyeupe mnajua hamna kitu na nyeusi kwenu ni Usiku...... Please shut up......

Kama ilivyo haiwezekani kuteua baraza la mawaziri nje ya CCM, basi nje ya CCM huwezi kupata chochote....... Kama huko nyuma mlizoea kutuingizia MBU kwenye Net, this time imekula kwenu NET LIMETEMA MBU WOTE chezeni nao......

Kwa uhalisia subirini muone ilani ya uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi itakavyotekelezwa alafu na nyie hatutawabagua kwenye maendeleo msijisikie vibaya mkiona shule, Hospitali, barabara, viwanda na huduma nyingine za Jamii, msije mkasusa maana akili yenu mnaijua wenyewe.... BANGI SANA

Naona Mshaanza kutokwa na mapovu baada ya uteuzi wa wakurugenzi, Mara Kakosea kawahamisha nani na nini Ufafanuzi ushatolewa kwa marekebisho hayo.
Acheni unazi bana

Na Mwaka HUU Mtaisoma Namba Kisawasawa......

........

MTANYOOKA TU.

HAPA KAZI TU!

By
Peter Dafi

Mtetezi wa Wanyonge.
 
ccm Ikulu inakosea hadi kuandika hata t.shirts?sioni ajabu hayo kutokea ndani ya ikulu.
images-12.jpeg

swissme
 
Unapikuwa na serekali ya kukurupuka inakosea uteuzi wa watu 130...unategemea nn ??
 
Ninyi mnajinadi kununua ndege mbili ,timu ya TP MAZEMBE tayali inandege mbili,mambo madogo kama hayo fanyeni kimyakimya,ni aibu kwa nchi kujivua nguo.
 
Mtetezi wa Wanyonge.
MKuu mtetezi wa wanyonge wepi?, mbona hili swali wengi wenu munaliruka?, wanyonge nchi hii ni wengi kulikowasio wanyonge, mbona wanyonge walio changua upinzani na wasiotaka siasa wanadhalilika?, au wanyonge wako chama tawala tuu?, laitani huo utetezi wako ingekuwa upo kwenye muonekano halisi basi ile 90% ya wanyonge wa nchi hii unao watetea isinge kuwepo.

We are being targeted while they are sitting safe and sound in their palaces.
 
UKAWA ACHENI USONGOMBWINGO

Uteuzi wa makatibu tawala wa wilaya umeibua taharuki..... Si taharuki kwa kuwa eti kweli ni taharuki bali kwa kuwa kuna watu nchi hii wako taharuki na akili zao ni kutafuta shari kila siku....

Uteuzi wa watawala hawa umezingatia weledi, uadilifu umakini na dhana ya kutimiza malengo ya pamoja tukiwa wa moja.

Kilichoonyeshwa na magazeti mengi pamoja na maoni ya WAPIGA DOM wa UKAWA ni wivu unaitwa USONGOMBWINGO..... Ni wivu wa Joka la Kibisa...... Linazingira miti ya matunda na kula haliwezi...... Hii ni akili mbovu kabisa.....

Uteuzi huo umezingatia uwezo wa kutekeleza malengo ya pamoja kwa mlengo mmoja yaani GOAL CONCLUENCY kwa maana tumepata makatibu tawala wanaoimba wimbo mmoja na kuruka pamoja na kutua pamoja na Rais, waziri, RC, DC na wenye ilani yao Chama Cha Mapinduzi.....

This time hatujafunga mazee..... Yaani tumeondoa tatizo la rangi rangi sasa kama kuna mtu haridhiki afanye jambo moja tu.... Akasikilize nyimbo za Saida Karol atagundua kuwa yampasa AJINYONGE

Nitumie ukurasa huu kuwaasa, kuwaonya na kuwakanya wapotoshaji wote.... Kwamba tutafika ukomo wa kuwavumilia..... Sasa mumekosa hoja..... Badala ya mngekuja labda mseme walioteuliwa hawana weledi.... Mnakurupuka eti wameteuliwa Makada....... Kazi ya HAPA KAZI TU mlitaka wateuliwe JANJAWEED (Yaani wagonga viroba na Bangi)????? NO WAY......

Waandishi wa habari wachache mnaotumia kurasa za magazeti KUPOTOSHA mantiki na ukweli...... Tumieni kurasa hizo kuelewesha Umma...... Mbona inawezekana........

Wanasiasa UCHWARA nyie UKAWA kwenu sina hata la kuwaomba bali kuwaamrisha mkae kimya maana nyie blue kwenu ni nyeusi iliyofifia, Njano ni nyekundu ikiwa mbali mkiona nyeupe mnajua hamna kitu na nyeusi kwenu ni Usiku...... Please shut up......

Kama ilivyo haiwezekani kuteua baraza la mawaziri nje ya CCM, basi nje ya CCM huwezi kupata chochote....... Kama huko nyuma mlizoea kutuingizia MBU kwenye Net, this time imekula kwenu NET LIMETEMA MBU WOTE chezeni nao......

Kwa uhalisia subirini muone ilani ya uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi itakavyotekelezwa alafu na nyie hatutawabagua kwenye maendeleo msijisikie vibaya mkiona shule, Hospitali, barabara, viwanda na huduma nyingine za Jamii, msije mkasusa maana akili yenu mnaijua wenyewe.... BANGI SANA

Naona Mshaanza kutokwa na mapovu baada ya uteuzi wa wakurugenzi, Mara Kakosea kawahamisha nani na nini Ufafanuzi ushatolewa kwa marekebisho hayo.
Acheni unazi bana

Na Mwaka HUU Mtaisoma Namba Kisawasawa......

........

MTANYOOKA TU.

HAPA KAZI TU!

By
Peter Dafi

Mtetezi wa Wanyonge.
We dogo unahangaikaga sana huku uwezo kiakili huna, sasa ndo nini umeandika hapo?
Mtu kua certifate ya mapishi hotelini kua DED wewe unasema ni weledi? Maskini sijui CCM wako wangapi wenye akili kama zako.
 
We jamaa ni mwehu.
Sikubaliani na wewe kukiuka taratibu kulikopitiliza.
Taratibu zipo wazi ili kuwa Katibu tawala wa wilaya ni lazima kwanza uwe umeshafanya kazi serikalini kwa zaidi ya miaka 12 na pia uwe unacheo cha kuanzia senior na kuendelea.
Kuteua makada wa ccm wasiokuwa na sifa hizo ni upuuzi
 
Habari nzuri kama unapenda umbea otherwise inaboa ngoja nipitie saftari la mwanangu wa chekechea kunaweza kuwa na vya maana kuliko hapa.
 
Unapojua mtu ana element za kimama na tabia za kitaarabu wala huumiz kchwa... Mtoa mada lini unahojiwa na zamaradi ???
 
kama tunalipenda taifa letu hatuwezi shabikia upuuzi wako huu kamwe. nchi yetu ina katiba yake....
 
UKAWA ACHENI USONGOMBWINGO

Uteuzi wa makatibu tawala wa wilaya umeibua taharuki..... Si taharuki kwa kuwa eti kweli ni taharuki bali kwa kuwa kuna watu nchi hii wako taharuki na akili zao ni kutafuta shari kila siku....

Uteuzi wa watawala hawa umezingatia weledi, uadilifu umakini na dhana ya kutimiza malengo ya pamoja tukiwa wa moja.

Kilichoonyeshwa na magazeti mengi pamoja na maoni ya WAPIGA DOM wa UKAWA ni wivu unaitwa USONGOMBWINGO..... Ni wivu wa Joka la Kibisa...... Linazingira miti ya matunda na kula haliwezi...... Hii ni akili mbovu kabisa.....

Uteuzi huo umezingatia uwezo wa kutekeleza malengo ya pamoja kwa mlengo mmoja yaani GOAL CONCLUENCY kwa maana tumepata makatibu tawala wanaoimba wimbo mmoja na kuruka pamoja na kutua pamoja na Rais, waziri, RC, DC na wenye ilani yao Chama Cha Mapinduzi.....

This time hatujafunga mazee..... Yaani tumeondoa tatizo la rangi rangi sasa kama kuna mtu haridhiki afanye jambo moja tu.... Akasikilize nyimbo za Saida Karol atagundua kuwa yampasa AJINYONGE

Nitumie ukurasa huu kuwaasa, kuwaonya na kuwakanya wapotoshaji wote.... Kwamba tutafika ukomo wa kuwavumilia..... Sasa mumekosa hoja..... Badala ya mngekuja labda mseme walioteuliwa hawana weledi.... Mnakurupuka eti wameteuliwa Makada....... Kazi ya HAPA KAZI TU mlitaka wateuliwe JANJAWEED (Yaani wagonga viroba na Bangi)????? NO WAY......

Waandishi wa habari wachache mnaotumia kurasa za magazeti KUPOTOSHA mantiki na ukweli...... Tumieni kurasa hizo kuelewesha Umma...... Mbona inawezekana........

Wanasiasa UCHWARA nyie UKAWA kwenu sina hata la kuwaomba bali kuwaamrisha mkae kimya maana nyie blue kwenu ni nyeusi iliyofifia, Njano ni nyekundu ikiwa mbali mkiona nyeupe mnajua hamna kitu na nyeusi kwenu ni Usiku...... Please shut up......

Kama ilivyo haiwezekani kuteua baraza la mawaziri nje ya CCM, basi nje ya CCM huwezi kupata chochote....... Kama huko nyuma mlizoea kutuingizia MBU kwenye Net, this time imekula kwenu NET LIMETEMA MBU WOTE chezeni nao......

Kwa uhalisia subirini muone ilani ya uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi itakavyotekelezwa alafu na nyie hatutawabagua kwenye maendeleo msijisikie vibaya mkiona shule, Hospitali, barabara, viwanda na huduma nyingine za Jamii, msije mkasusa maana akili yenu mnaijua wenyewe.... BANGI SANA

Naona Mshaanza kutokwa na mapovu baada ya uteuzi wa wakurugenzi, Mara Kakosea kawahamisha nani na nini Ufafanuzi ushatolewa kwa marekebisho hayo.
Acheni unazi bana

Na Mwaka HUU Mtaisoma Namba Kisawasawa......

........

MTANYOOKA TU.

HAPA KAZI TU!

By
Peter Dafi

Mtetezi wa Wanyonge.
Tehetehe naona alikusahau unaanza kuomba kimoyomoyo akukumbuke, utaumbuka, uzuri wa JF threads hazifi ntakusoma tu mkubwa. Mmbaya wako yuko ndani kwako kwa Jirani umbeya.
 
Magamba'z ivi ni dawa gan? mnayowapa awa vigambaz mpaka wanakuwa kama vichaa namna hii?
 
Haya kachukue buku 14 zako, leo umetoa uzi mzuri sana lazma wakupe double posho!
 
We jamaa ni mwehu.
Sikubaliani na wewe kukiuka taratibu kulikopitiliza.
Taratibu zipo wazi ili kuwa Katibu tawala wa wilaya ni lazima kwanza uwe umeshafanya kazi serikalini kwa zaidi ya miaka 12 na pia uwe unacheo cha kuanzia senior na kuendelea.
Kuteua makada wa ccm wasiokuwa na sifa hizo ni upuuzi
UMEONGEA UKWELI MKUU.
 
Back
Top Bottom