UKAWA acheni kuwapa NEC points 3 zote muhimu

Bramo

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
11,809
2,000
Wakuu JF amani iwe nanyi.

Nimemuelewa sana Mkurugenzi wa uchaguzi wa NEC alipojibu hoja za UKAWA na Sababu zao za kutokushiriki /kususia uchaguzi wa January 2018.

Kimsingi UKAWA mmewapa NEC 3 Points muhimu kabisa kwa hoja zenu. UKAWA you have points but hamjui namna na wapi pa ku present. Yaani UKAWA mnafikiri hao NEC hawajui what happened kwenye uchaguzi uliopita ????

Yaani UKAWA mnajidanganya kabisa kuwa NEC ndio wata solve Changamoto zenu? UKAWA kitu gani kinawazuia kwenda Mahakamani? Yaani UKAWA mnaitumainia zaidi NEC kuizidi Mahakama?

Kwanini msiende Mahakamani such that kana Figisu watu tutaelewa?
Kitu gani hasa kinawazuia kwenda Mahakamani na kuwasukuma kukimbilia NEC?

Growup Boys....
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom