Ukatili wa Wazungu vs Ukatili wa Waarabu

TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

JF-Expert Member
Dec 1, 2010
5,704
10,168
Ukatili ni ukatili lakini mwingine umepitioliza.
Waarabu wenye asili ya Afrika wananyanyasika sana Uarabuni na wanaitwa Aswad, afadhali nchi za magharibi sasa zina heshimu utu wa mtu mweusi
 
Hii topic inaharibu mapenzi, mahusiano na urafiki. Nawasilisha.
 
wabongo mnaavyo waagopa waarabu na wazungu manshindwa kujadilli hawa ni makatili umasikini wa africa chazo kikubwa nia muarabu!!!!!!!!!!!!!!!

watumwa hawezi kujadili watwana wao nimeamini ingekuwa ni waafrica wenzao mgeona mijadala mukali hapa

jiondoeni kwenye utumwa wa kiaakili

:drum:
 
Mazungu makatili saaana. Ona LIBYA ,AFGHANISTAN, IRAQ wameua watu wengi kwa visingizio vya uongo. Pia watumwa wote walipelekwa ktk nchi za magharibi[wazungu]waliwatesa na kutumikishwa ktk viwanda na mashambani. Mzungu noma kabisa.
 
Hivi wale wanaouwana burundi,congo,Mara na Rwanda kwa ukatili nao ni waarabu?
 
Waarabu ni wakatili sana na ukitaka kuthibitisha hili rejea biashara ya utumwa na kutokufungua shule za kawaida kwa watoto wa kiafrika
 
Wewe karachuonyo na wale waliowasafirisha weusi kwenye bahari ya atlantic ni akina nani?

Wacha ujinga usiyo na maana soma historia kwa ukamilifu wake.
 
Back
Top Bottom