mashishanga
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 611
- 427
Kuna clip moja inasambaa wasap nimeshindwa kuihamishia huku inaonyesha mtoto Wa umri kama miaka kum hiv alichomwa visu na mama Wa kambo sehemu za mapaja kiunoni na mtoto
Huyo alikatazwa asiseme na mama wa kambo hivyo huyo mtoto hakusema kwa baba yake wala kwa MTU yeyote. Damu ilivimbia kwenye mapaja na mtoto alidondoka gafla nyumbani akazimia ndio akapigiwa cm mama yake ,
Mama akaenda mchukua mtoto akiwa kazimia akampeleka hospital, nahis walimfikisha Hosp Tayar mtoto kashakufa. Sasa wakiwa wanamwogesha maiti mochuar ndipo kuyakuta hayo majeraha
Kwa kweli ncha za visu zinaonekana ni uchungu Wa hali ya juu mama yake alikua analia kwenye clip had huruma, mwenye clip hiyo anaweza kuiweka hapa,funzo!!!!!!
Akina Dada na wanawake kwa ujumla kumwachia mwanaume mtoto sio kumkomoa, ni wanaume wachache wanajua kuwa karibu na watoto wao kwan wengi wanaume ni watafutaji hivyo akirud jion anakuta watoto wamelala hajui kilichotendeka,
Mwanamke umeshindwa kumlea mwanao peleka hata kwa wazaz wako watamlea tuu,
funzo kwa wanaume, jitahid kufuatilia mienendo ya watoto wako nakua karibu yao ,wanawake wanajua kujiliza ila ni viumbe katili hakika baba Wa huyo mtoto angekua karibu na mwanae angegundua mateso anayopata mwanae angemuokoa labda, wanawake wenye hii Tabia hakika laana inakufuata,
Kwa nini ukubali kuolewa na mwanaume mwenye mtoto au watoto wakat hutaki kuwalea watoto wake, mbona wanaume hawanaga hiz roho za ukatili Bali ni wanaume wachache atamtesa na kumnyanyasa mtoto aliyekukuta nae, inauma sana