mimi ni mtu
Member
- Oct 17, 2018
- 32
- 44
Ukatili unaondelea kufanywa na Fastjet sio wa kufumbia macho. Yapata wiki nzima sasa abiria hawasafiri kwa wakati ndege zinaahirishwa bila kupewa taarifa.
Leo asubuhi nilitakiwa kusafiri kutoka Mwanza kwena Dar saa mbili asubuhi mpaka sasa navyoandika saa 21:35 ndege haijulikani inafika saa ngapi na tumewekwa tu hapa ndani na hakuna mamlaka yoyote inayotujali.
Fastjet wanafanya wanavyotaka kila siku wanapanga safari na muda wao bila kujali abiria ni uhuni uliopitiliza.
Serikali na isikie hawa jamaa wanatutesa kupita kiasi.
Msafiri aliyetekwa na Fastjet toka asubuhi mpaka sasa.