MANYORI Jr
JF-Expert Member
- Mar 25, 2012
- 462
- 343
Habari zenu waungwana.
Niseme tu kwamba kama lengo la Serikali ni kuwaajiri walimu haina budi kuweka kuweka mazingira mazuri yanayowezesha waombaji wa ajira hizo kufanya hivyo bila vipingamizi vyovyote.
Tangu kutangazwa kwa ajira hizi, mtandao elekezi yaani www.ajira.tamisemi.go.tz haufunguki katu iwe asubuhi,mchana au usiku.
Wahusika hawaoni si haki kumkaribisha mtu ndani ilihali wamefunga mlango wa kuingilia huko ndani.
Huu nao ni ubabaishaji na kutokuhurumiana kwa misingi ya mtandao dhaifu.
Mungu ni mwema,wakati wote.
Jumapili njema!
Sent using Jamii Forums mobile app