Ukatili kwa waombaji wa ajira za ualimu 2019

MANYORI Jr

JF-Expert Member
Mar 25, 2012
428
500
Habari zenu waungwana.

Niseme tu kwamba kama lengo la Serikali ni kuwaajiri walimu haina budi kuweka kuweka mazingira mazuri yanayowezesha waombaji wa ajira hizo kufanya hivyo bila vipingamizi vyovyote.

Tangu kutangazwa kwa ajira hizi, mtandao elekezi yaani www.ajira.tamisemi.go.tz haufunguki katu iwe asubuhi,mchana au usiku.
Wahusika hawaoni si haki kumkaribisha mtu ndani ilihali wamefunga mlango wa kuingilia huko ndani.

Huu nao ni ubabaishaji na kutokuhurumiana kwa misingi ya mtandao dhaifu.

Mungu ni mwema,wakati wote.

Jumapili njema!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NONIYANG'WAKA

JF-Expert Member
Sep 22, 2013
1,452
2,000
tuliza moto! watu wanazidi kutuma taratibu. tumia computer kwenye net kali. ukiendelea kulalama unawapunguzia kazi wanaoshotilisiti.

mtaani kuna shehena ya 2015, 2016 & 2017.

kuna lundo la wenye sifa wasiopungua 40,000!

wale wa sayansi hawazidi 6000 na art + gr A kibao.
 
Minachinky

New Member
Feb 21, 2019
3
20
Sifa
tuliza moto! watu wanazidi kutuma taratibu. tumia computer kwenye net kali. ukiendelea kulalama unawapunguzia kazi wanaoshotilisiti.

mtaani kuna shehena ya 2015, 2016 & 2017.

kuna lundo la wenye sifa wasiopungua 40,000!

wale wa sayansi hawazidi 6000 na art + gr A kibao.
Zipi Wanaangalia haswa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom