Ukatili huu kwa hawa kuku/kitoweo walistahili? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukatili huu kwa hawa kuku/kitoweo walistahili?

Discussion in 'Jamii Photos' started by KELVIN GASPER, Dec 3, 2011.

 1. KELVIN GASPER

  KELVIN GASPER JF-Expert Member

  #1
  Dec 3, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 962
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 60
  Wauza_kuku_Singida_wakishuhudia_kuku_waliokufa_kwa_joto_kali.JPG


  WAFANYABIASHARA wa kuku mjini Singida wamelalamikia mkurugenzi wa manispaa kwa madai kuwa amesababisha maelfu ya kuku kufa,wakati akidai ushuru, wakati alipolishikilia lori lililopakia kuku kwenda jijini <st1:City w:st="on"><st1:place w:st="on">Dar es Salaam</st1:place></st1:City>, kwa saa 24.
  Akiongea na waandishi wa habari eneo la soko kuu jana, mkurugenzi wa wauza kuku mjini Singida, Selemani Mohammed Kuku alisema, kutokana na hasara kubwa waliyoipata,wanatarajia kuipandisha kizimbani manispaa hiyo, ili awalipe fidia.
  Kwa mujibu wa Kuku, wafanyabiashara katika soko <st1:City w:st="on"><st1:place w:st="on">hilo</st1:place></st1:City> wamepata hasara ya maelfu ya fedha, kutokana na kuku zaidi ya 2,000 kufa, kwa kukosa hewa, baada ya lori walilokodi kushikiliwa na manispaa, kwa zaidi ya saa 24.
   
 2. Jeji

  Jeji JF-Expert Member

  #2
  Dec 3, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  dah!! hapo supu ya kuku wa kienyeji ndio basi tena.
   
 3. ikizu

  ikizu JF-Expert Member

  #3
  Dec 3, 2011
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 431
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nami nimeonaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
   
 4. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #4
  Dec 4, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  motherf***k, hawa wajasiriamali wametiwa hasara isiyo msingi; maisha yenyewe haya kweli ni ya kutiana hasara kizembe hv?!!!!
   
 5. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #5
  Dec 4, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Hiyo ni zaidi ya 20M, ni setback kubwa mno kwa hawa vijana wanaojaribu kuearn maisha!!!...halaf ms*nge mmoja ananenepesha tumbo ofisini-UZEMBE2~
   
 6. B

  Bengal Sanke Senior Member

  #6
  Dec 4, 2011
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Du kweli Maskini kutoka itakuwa ngumu saaaaaaaaaaaana hapa Bongo.....
   
 7. ALLEX

  ALLEX JF-Expert Member

  #7
  Dec 5, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 2,046
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  mhh hawa lazima walifanyiwa utaratibu na kurudi sokoni kama vibudu..
   
 8. MGAWARIZIKI

  MGAWARIZIKI JF-Expert Member

  #8
  Dec 5, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 306
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mwenye nacho anaongezewa asiyenacho ananyang'anywa kabisa!
   
 9. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #9
  Dec 5, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,966
  Trophy Points: 280
  Poleni sana, ila next time mnapaswa kufuata taratibu za usafirishaji ili kuepuka hasara kama hizo.
   
 10. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #10
  Dec 6, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Mnafikiri Lissu alivyopiga marufuku ushuru wa mazao ...nafaka na wanyama jimboni kwake alikosea???
  serikali inayotegemea ushuru wa kuku ni seriikali gani hiyo!!
   
 11. kifinga

  kifinga JF-Expert Member

  #11
  Dec 6, 2011
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 1,710
  Likes Received: 1,620
  Trophy Points: 280
  jaman alshabab mbona sioni makeke yenu mjilipue hata kwenye gari la huyu mkurugenzi
   
 12. k

  khalidfundi Member

  #12
  Dec 7, 2011
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Daah! inasikitisha sana jamani,kuku pia wanaroho na wanahisi maumivu kama binadamu.
   
Loading...