Ukate miti milioni mbili halafu umuombe Mungu akuletee mvua? Serious?

Kuna tofauti kubwa kati ya miti ya asili na hii ya kupanda, mti wa hasili una tumia hata miaka hamsini kukua, na ina tabia xa ziada na miti ya kwetu hi ya kawaida
Nimechoka kumjibu mimi afadhali umemjibu....
 
Post ya kipumbavu kabisa,kuna miti mingapi tz? Iliyokatwa ni mingapi? Utakuwa umejaa mavi kichwani wewe siyo bure
 
Hiyo miti milioni mbili iliyokatwa iliuzwa wapi na ililiingizia taifa shillingi ngapi?
 
John Heche kahoji hivi kupitia Twitter:

Hivi ile miti 2,600,000 iliyokatwa pale kwenye pori la selous ilipelekwa wapi? Aliuziwa nani? Kama ilichanwa mbao ziliuzwa kwa nani na pesa yake iko wapi?

Zitto akajibi hivi:

Mzalendo na mtetezi wa Wanyonge aliinywa. TFS ina majibu! Miti ile ilikuwa na thamani ya Shs 2 trilioni kwa mujibu wa Taarifa ya Wizara ya Maliasili wakati ule ndani ya Kamati ya Bajeti ya BUNGE. Labda CAG afanye Ukaguzi Maalumu 🙄🙄🙄!
 
Sasa hiyo miti ilipelekwa wapi? Au labda waliichoma moto?

Miti zaidi ya 2, 600,000 ni mingi mno na hata kui-handle ni kazi ya ziada.
 
John Heche kahoji hivi kupitia Twitter:

Hivi ile miti 2,600,000 iliyokatwa pale kwenye pori la selous ilipelekwa wapi? Aliuziwa nani? Kama ilichanwa mbao ziliuzwa kwa nani na pesa yake iko wapi?

Zitto akajibi hivi:

Mzalendo na mtetezi wa Wanyonge aliinywa. TFS ina majibu! Miti ile ilikuwa na thamani ya Shs 2 trilioni kwa mujibu wa Taarifa ya Wizara ya Maliasili wakati ule ndani ya Kamati ya Bajeti ya BUNGE. Labda CAG afanye Ukaguzi Maalumu 🙄🙄🙄!
Waligawa kuni huko Rufiji
 
John Heche kahoji hivi kupitia Twitter:

Hivi ile miti 2,600,000 iliyokatwa pale kwenye pori la selous ilipelekwa wapi? Aliuziwa nani? Kama ilichanwa mbao ziliuzwa kwa nani na pesa yake iko wapi?

Zitto akajibi hivi:

Mzalendo na mtetezi wa Wanyonge aliinywa. TFS ina majibu! Miti ile ilikuwa na thamani ya Shs 2 trilioni kwa mujibu wa Taarifa ya Wizara ya Maliasili wakati ule ndani ya Kamati ya Bajeti ya BUNGE. Labda CAG afanye Ukaguzi Maalumu !
Hata akikagua naona kwa sasa ni kuwa amechelewa sana .

Hata kama itaonekana mzareendo ndiyo nambari moja aliyetafuna utamfanya nini?
 
Unaonaje? Inawezekana?
Miaka yoote imenyesha kama kawaida, mwaka huu ndiyo imechelewa kunyesha. Kwa nini? Unakumbuka el Nino na la Nino ya mwaka 1998 (au ulikuwa bado hujazaliwa)? Nayo ilisababishwa na miti hiyo kukatwa?
 
Back
Top Bottom