jambo Tanzania
JF-Expert Member
- May 29, 2017
- 377
- 281
Kama kichwa kinavyojieleza.je umewahi kuishiwa kabisa pesa katika maisha yako .je ulichukua hatua gan?.wakati watoto wanatakiwa kula na kwenda shule.kulipa pango la nyumba na kulipia bili za maji na umeme.je ulifanya nini kuondokana na hali hiyo tupe experience yako