Ukata unavyowaliza wabunge kikatili: Waacha vyumba hotelini na kuhamia Guest House

Nibozali

JF-Expert Member
Oct 15, 2016
572
1,055
Chanzo: Gazeti LA Nipashe

Hapa kazi tuuuuuuuuuu! Kidumu chama!........…..
"Nikisema uchumi wetu umepanda" mnaitikia kwa sauti "Umepandaaaaaaaaa"

IMG_5102.JPG
 
Hawa wabunge waliobariki makato ya asilimia 15 ya basic salary kwa ajili ya Bodi ya Mikopo si wa kuhurumia hata kidogo.

Wacha waisome namba maana wanashindwa hata kuungana na badala yake wabunge wa chama fulani wao wako busy kuwakomoa wabunge wenzao badala ya kuunganisha nguvu kuibana serikali na kusimamia haki zao na za watanzania wengine.
 
Ukata ndio new UKUTA walidhani wataosoma number ni wale upande wa pili tu sasa yamewafika! Anaona pesa serikali inapotea bure wanapiga porojo bungeni.......ni dharau kwa kiwango cha mwisho kabisa!!!

Ana shauri hata bunge lisiwepo! Ataendesha nchi kwa akili zake za PHD ya maganda korosho!!! Ebooo
 
Uandishi wa siku hizi, hata waandishi na wahariri wa magazeti nao ni BRN. Yaani kile kiswahili cha mtaani kinawekwa vilevile gazetini.
Guest ina maana Guest House, siyo geni,mgeni.
Sheli ni kituo cha mafuta, na wala siyo kampuni ya mafuta kama ilivyo total, esso, Bp, oilcom.

 
Kusema kweli mimi ninapenda ukweli. Sina huruma na wabunge wa JMT kwa sababu hawana huruma na sisi. Maamuzi mengi wanayoyafanya yamegharimu maisha ya watanzania wengi.

Ninajua kuna wachache ambao nina hakika hawako miongoni mwa wanaojutia, hao Mungu anawatunza na kuwapa kuridhika kwa kuwa wana huruma na taifa.

hILI NI ONYO KWA WABUNGE WA CCM KWAMBA 'wanapofanya 'NDIYOOOO PHENOMENON', wasidhani wao wana bullet proof ya kuwangika na amdhara yake. Kama walikuwa hawajui haya ndiyo matokeo ya maamuzi yao ya kij...nga wanayoyafanya ambayo yanaharibu taifa. Pengine kwa kkosa pesa, watatambua kwamba maamuzi yao yanaharibu taifa na athari hazitawaengua wao. Lingine wajifunze kwa NAPE.

Ccm wanapashw akujua kila hujuma wanayoifanya kwa taifa haitawaacha salama. Juzi wametoa maamuzi ya kuupi...mvu kabisa kuhusu uwakilishi wa Tanzania katia bunge la EA. Tunaona wanavyopeana hata rushwa kupitisha miswada kandamizi wakifikiri wao watakuwa salama. Hujuma walivyofanya katika bunge la katiba walidhani wao na ukoo wao wote wanakinga dhidi ya madhara ya maamui ya kujip.mv.

WABUNGE A CCM ENDELEENI KUISOMA NAMBA . WAPINZANI WANAOLILIA NA HATA KUPOTEZA MAISHA KWA AJILI YA TAIFA HILI SNI WATU MAKINIG WANA DAMU NA NYAMA KAMA NINYI LAKINI WAO WANATHAMINI TAIFA NA VIZAZI VYAO KULIKO NINYI.

HIVO ACHENI KULALAMA. WAKATI MNAPOLUTE HEWA MNATEGEMEA NINYI MNAVUTA HEWA KUTOKA WAPI? AIBU YENU!
 
Hawa wabunge wamejaa siasa

Mpaka sasa wana akiba ya billion 8 alafu kutwa nzima kulialia.
Je sisi wenye mishahara ya laki 4 tufanyaje??
We hujastaaf tu kwa hiyar? 47+ unalipwa lak nne? Kafanye kaz zingne mzee.na ukifurukuta,tunaweka hapa jina lako halisi na picha zako,ili watu wakufahamu.
 
Hawa wabunge wamejaa siasa

Mpaka sasa wana akiba ya billion 8 alafu kutwa nzima kulialia.
Je sisi wenye mishahara ya laki 4 tufanyaje??
Kama ni mtu wabiashara ya laki 4, basi uliyo andika kuhusu bunge niongo mtupu
 
weka habari, Tuone sababu au kuna stahiki zao halali wamenyimwa.
Maana nao wajifunze kupitisha vitu vingine vinawaumiza wananchi.
Faida ya hii kitu itawasaidia kuanza kufikiri kizalendo.
Ila kwanza tuelimishwe sababu na kiini cha ukata maana wengine walitafsri maisha ya ubunge kama extreme spending...
 
Nilisomaga na "wapush" enzi hizooo...walikuwa kwa kupigania ugali ni shida alafu walikuwa wanasoma wakubwa Wao ni kutumia nguvu na ubabe kilajambo. Walizoea maisha ya shida na hawakuwa na huruma wakikuona unataabika kwani wameyapitia sana hayo. Nchi ikiendeshwa kipush wabunge watatembea peku na kuvaa suruali yenye viraka,tupinge kupelekwa kwafikra za kipush au za kimasai ng'ombe 1000 chupi hununui!!
 
Ngoja waisome number na bado.Hawa ni wajeuri wakishachuguliwa wanajisahau kabisa utafikiri watokea Pluto.Acha tuisome wooooote@!!!!!!!!!!dadadeki
 
Hawa wabunge wamejaa siasa

Mpaka sasa wana akiba ya billion 8 alafu kutwa nzima kulialia.
Je sisi wenye mishahara ya laki 4 tufanyaje??
Kelele zote upigazo kumbe ni laki 4 tu
Wabunge ni wanasiasa ndo mana wamejaa siasa
 
Back
Top Bottom