Ukata serikalini,wafanyakazi wamekopwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukata serikalini,wafanyakazi wamekopwa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ulimakafu, Dec 7, 2011.

 1. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #1
  Dec 7, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Vyanzo mbali mbali vya habari vinaripoti kuwa wafanyakazi serikalini na idara zake hawajalipwa kwa kipindi cha kati ya mweizi 1 hadi 2.Hii ni dalili kuwa sasa lile fuko kule hazina/BOT limekaukiwa kabisa au ndo malipo ya DOWANS?.Poleni kwa kukopwa na akina sie ndo tuliamua kuwa wajasiriamali kuepuka hilo.
   
 2. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #2
  Dec 7, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  mishahara yenyewe kiduchu! Wenzao posho nene na ndefu ndefu wanapeta.af cheki ijumaa utakavyowaona wakiandamana na matisheti kusherehekea pale uwanja wa taifa. Jamani wapi Mgaya? Au ashapewa chake kanyamaza
   
 3. B

  Bateko Senior Member

  #3
  Dec 7, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 107
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yaani ss hv naona kuwa Mfanyabiashara ni bora zaidi ya mfanyakazi kama tu mgambo wataacha hila na leseni kutolewa bila foleni; poleni wenzangu tuliokopa kwa kujiamini na ss tumebadilisha njia kuogopa kudaiwa kisa Sirikali yetu,,,, Napita tu
   
 4. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #4
  Dec 7, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Pole mkuu,usipite karibu na duka la pemba.
   
 5. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #5
  Dec 7, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Sherehe zenyewe hazina hata maana.
   
 6. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #6
  Dec 7, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,947
  Likes Received: 1,507
  Trophy Points: 280
  Nasikia sherehe zinakula 50 billion,hapo halali ni 10 billion zingine watazijairo
   
 7. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #7
  Dec 7, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Wataalam walishazilia mingo,kuzijairo zaidi-nimeipenda.
   
 8. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #8
  Dec 7, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,785
  Likes Received: 2,395
  Trophy Points: 280
  Waalimu ifm,udsm wakiri hawajalipwa mshahara
   
 9. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #9
  Dec 8, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Kazi ipo.
   
 10. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #10
  Mar 9, 2015
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,856
  Likes Received: 2,431
  Trophy Points: 280
  Ukata SERIKALINI UMEFIKIA HATUA MBAYA ...


  WALIO NA NDUGU MAGEREZANI WAFUATILIE..KWAKUWA WALIOTOKA WANASEMA ....HALI YA CHAKULA ,MALAZI NA MADAWA MAGEREZANI IMEKUWA MBAYA NA KUSABABISHA BAADHI KUFA HASA WANAOTUMIA MADAWA YA ARV ...KWA KUKOSA LISHE ..
  HAYA NI MADAI MAZITO WENYE NDUGU ZENU JELA ULIZIENI ...


  HATA KWA MAVAZI YA ASKARI HASA MAGEREZA ..IMEKUA TABU SANA...BADALA YA KUPATA MAVAZI KILA MWAKA WAKO ASKARI WANA MIAKA MITATU HAWAJAPATA MIGAO .......


  ZAIDI YA MISHAHARA AMBAYO NAYO INASUA ..TAAISISI NYINGI ZINAPUMULIA MASHINE


  EEH Hii MIEZI 8 Bairiki JK ATUVUSHE SALAMA
   
 11. K

  Khalifax Sayed Member

  #11
  Mar 9, 2015
  Joined: Feb 1, 2015
  Messages: 44
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Duka la Pemba limefanyaje apo?
   
Loading...