tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,855
- 1,117
Hellow JF, leo nimekaa nikatafakari safari yangu ya maisha hasa upande wa shule. 1. Nakumbuka nikiwa std 5 kuna mtoto alihamia skul kwetu, tulitokea kuzoeana sana na karibu darasa lote walijua kuna mapenzi kati yetu, kifupi nilimpenda sana japo alikuja kunitosa nilimpomtongoza tukiwa sec. 2. Nikiwa O'level nikakutana na mrembo mwingine, niliamin toka moyon kwamba nampenda, na nikajiaminisha kwamba hatatokea mwingine kama yeye, yule binti alifel form 2 na akahama shule hivyo sikupata kumwambia na sijamuona tena mpaka leo 3. A'level nilikutana na kifaa kingine na nikaapa nikimpata sitamwacha, nilihis ni malaika aliyeshushwa kwa ajiri yangu, 2 years nilipigishwa kwata ndipo nikaja kukubaliwa, kilichofuatia ni kutoswa baada ya miezi michache 4. Nilipofika chuo nikakutana na malaika mwingine, nikahisi wote wa nyuma hawakuwa kwa ajiri yangu, nilijitahidi kumwambia unaoitwa ukwel toka moyon lakin sikufanikiwa. Sasa nipo mtaani, ila nahisi picha linaendelea. Swali; je kupenda/ukweli ni upi Ikiwa wote huwa tunasisitiza tunawapenda? Je ni ukaribu unaopelekea kile kinachoitwa kupenda? Nawasilisha.