Ukarabati katikati ya jiji viongozi wahusika wapo wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukarabati katikati ya jiji viongozi wahusika wapo wapi?

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Mar 11, 2010.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Mar 11, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,599
  Trophy Points: 280
  <table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"><tbody><tr><td align="left"><table bgcolor="#dddddd" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" height="23" width="100%"><tbody><tr><td width="10">
  </td> <td width="606">
  </td> <td align="right" width="139">
  </td> <td align="right" width="12">
  </td> </tr> </tbody></table></td> </tr> <tr> <td bgcolor="#999999">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="shortnews" align="left" bgcolor="#ffffff" valign="top">Eneo la barabara katika mtaa wa Azikiwe, mkabala na Posta Mpya, katikati ya jiji la Dar es Salaam, linafanyiwa matengenezo kufuatiwa kuharibika. Eneo hili limekuwa na matatizo sugu ya mashimo na harufu mbaya inayosababishwa na kuziba kwa mifereji ya kupitishia maji machafu, hali ambayo imekuwa kero kubwa kwa wakazi wa jiji.
  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Eneo linalofanyiwa matengenezo.

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Kibao kinachowatahadharisha madereva kuwa makini wanapopita eneo hilo.

  </td></tr></tbody></table>
   
Loading...