kitu pesa, Mapato yalipokuwa yanapatikana mengi walikuwa hawahoji na ingendelea hivyo kama ajali isingetokea,sasa hivi kuna watu wanalaumiwa .Simply "Basic"
Halafu tumekuwa na past experience ya hii kitu. Tumewahi pata haya majanga.
Na sababu kama hii..
"Boti ilikuwa na zaidi ya watu 400"
3 times the number it's capable of..
Kusoma hujui hata picha kwenye TV hujaona!Salma, waziri mkuu na waziri husika hata kwenye vyombo vy ahabari hawajatokea , halafu mnataka mbowe aende, Tunawajua hamchelewi kubadilisha kibao kama kwa Akwilina. Risasi alipiga mwingine ambaye yupo hai kesi ni ya mbowe.
So sababu ni nnNimemskia Kepteni akifanya uchambuzi Azam tv, anadai sababu ya kuzidisha uzito haina mashiko sababu kama issue ingekuwa uzito kivuko kingezama Ukerewe.
Swali kwa Mh Waziri. 1.Ukisema hivyo hata waziri hana sababu za kufanya hivyo kwa maana na yeye kuna mahali ame-delegate power, mwisho wa siku utakosa wa kumwajibisha!!
Huu sio ukumbi rasmi wa kuweka maanani hati miliki ya kazi za watu. Ningelikuwa naandika thesis ni ningeli acknowledge source, kumbe haya mambo huyaelewi. Mbona nasikia ulikuwa Denmark unasoma Masters ya nini sijui! after all ......Na wezi wa kizungu cha wengine.
Nikivuka MAJI huwa navaa life jacket kabisa nakaa pembeni pia,uwezo wa kukaa majini dk 20 sina nishawaachia dunia yenu mapemaaaMimi huwa nawahurumia sana watu wanaosafiri na vyombo vya majini bongo. Ikizama ukipona basi siku zako hazijafika.
Kujitetea kusema vifaa havipo vya uokozi usiku si utetezi sahihi. Miaka zaidi ya 50 baada ya uhuru bado tupo tupo tu.
Wapumzike kwa Amani waliofariki.
hahaa sasa kuna tofauti gani ya izo machine na daftari.Haya ni maajabu sana, kwa hiyo mkata tiketi naye alikuwa ndani na kaefd machine yake. Huku nchi kavu hakuna data iliyobaki?? Kweli tunaishi stone ages..
kama hakukuwa na dhoruba basi ni yale mambo ya kujaza watu na walivyo beba kupita kiasi.
poleni sana
Karabai za wavuvi sawa na mchana wangepewa mafuta tuWangewasha hata mishumaa basi.
by the way, mita 100 toka nchi kavu siyo mbali kihivyo pale wangeweza hata kuita kivuko kingine kiende pale kikiwa kimebeba gari zenye taa za mwanga mkali au wangewahi kunyofoa hata zile taa za mwanga mkali unaosafiri mbali angani mida ya usiku kuashiria sehemu ilipo taa hiyo pana Club...
Just kwa kuunga unga tu tungefanikiwa kitu fulani
Kwani hivyo vifaa hua vinakua vimezama na kivuko chini ya maji ?Tumia akili acha siasa.Vifaaa vyakukesha kulinda kura za chama penda vipo lakin?