Ukanda wa pwani kuna laana gani?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,462
154,332
Ukanda wa pwani ya Afrika mashariki umelaaaniwa, huku ndio kuna mashoga wengi na ushoga wao wanaufanyia hadharini tena wakijigamba kwa kujiita anti.
Hii laana inasababishwa na nini?
 
Hawajapigwa mawe na kuchomwa moto kama ndio sababu. Watu wawaangalia tu.
 
Wanadai wana haki zao kama binadamu wengine, which is true, lakini lazima wajiheshimu
 
Hawajapigwa mawe na kuchomwa moto kama ndio sababu. Watu wawaangalia tu.

watu inaonekana wanapenda sana hayo mambo , zenj imekuwa style yaani hata vitoto vido unavikuta vinatukana na matusi makubwa ni kama haya unaf*********, Mse********** yaani unabaki mdomo wazi huna la kufanya
 
si pwani tu hata sehem nyengine wapo tena wengi sema vyombo vya habari utasema viko pwani tu maana haviripoti mambo mengi kutoka huko.
 
Hivi Arusha, Mwanza, na kwingineko hakuna haka ka mchezo!!!
 
elli we mkweli??nataka kurudi kutembelea nyumbani nilipotokea lakini unanitisha kwa mambo hayo mana huwa siwezi kustahamili kitu roho yangu hasa mambo kama hayo ndio nayachukia ajabu ya rahmani!!!!
Mombasa, Dar, Tanga, Pwani, Lindi
 
Kwetu Sumbawanga ukigumdulika kuwa unaingiliwa kinyume na maumbile unapewa adhabu ya kuchimba kaburi, kujitumbukiza ndani kisha kujifukia wewe mwenyewe.
si pwani tu hata sehem nyengine wapo tena wengi sema vyombo vya habari utasema viko pwani tu maana haviripoti mambo mengi kutoka huko.
 
Hivi kale sheria alikotaka kukapitisha Museveni kaliishia wapi???Sheria ilikuwa inatamka kuwa ukimpangisha nyumba shoga unatupwa jela, ukiwa na mtoto shoga alafu hujatoa taarifa unatupwa jela, etc etc ilikuwa imekaa vizuri sana kimaadili
 
Wakurya, wajita, wamasai, wanyakyusa, wagogo , wasafwa, wamalila, wandali, wanyiha mbona kwenye jamii zao hayo mambo ya kubenjuani tigo laini hayapo?
Wabara ndio wakulima wakubwa, but hao wa pwani zao ni kuimba taarab tu
 
Hivi kale sheria alikotaka kukapitisha Museveni kaliishia wapi???Sheria ilikuwa inatamka kuwa ukimpangisha nyumba shoga unatupwa jela, ukiwa na mtoto shoga alafu hujatoa taarifa unatupwa jela, etc etc ilikuwa imekaa vizuri sana kimaadili
Si waliipinga pinga kule UG wabunge hawakuipitisha....sijui wana matoto mashoga? yaani ile sheria ilikua ndo mwake kabsaa....yaani ukidakwa wewe ni shoga...kifungo au kunyongwa, ukidakwa wewe unakula shoga ivo ivo....ukiishi/kumpangisha shoga hujatoa taarifa kifungo.....
 
elli we mkweli??nataka kurudi kutembelea nyumbani nilipotokea lakini unanitisha kwa mambo hayo mana huwa siwezi kustahamili kitu roho yangu hasa mambo kama hayo ndio nayachukia ajabu ya rahmani!!!!
Tafadhali Nilham nashindwa kusoma ujumbe wako hiyo rangi inaumiza macho!!!!!!!!!
 
Ukanda wa pwani ya Afrika mashariki umelaaaniwa, huku ndio kuna mashoga wengi na ushoga wao wanaufanyia hadharini tena wakijigamba kwa kujiita anti.
Hii laana inasababishwa na nini?

hakuna cha ukanda wa pwani wala nini,siku hizi mpaka wachaga mashoga
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom