Ukanda Uko Wapi Hapa? Iko Haja Godlitsen Malisa Na Genge Lake Nao Wapate Somo Kutoka Kwa Jerry Muro

JINOME

JF-Expert Member
May 29, 2017
958
1,424
Malisa na genge lake wamekomaa kwenye mitandao wakitaka kuwaaminisha watu kuwa Mawaziri na Manaibu Mawaziri wanatoka Kanda ya Ziwa. Orodha hii hapa, uko wapi Ukanda? Hii dhamni ya Ukaskazini itawatafuna sana hawa vijana wa BAVICHA
MAWAZIRI NA MAJIMBO YAO WANAPOTOKA.

1. Capt. George Huruma Mkuchika - Newala Mjini, MTWARA.
2. Seleman Said Jafo - Kisarawe, PWANI
3. January Yusuf Makamba - Bumbuli, TANGA.
4. Jenista Joackim Mhagama - Peramiho, RUVUMA.
5. Dkt. Charles John Tizeba - Buchosa, MWANZA.
6. Luhaga Joelson Mpina - Kisesa, SHINYANGA.
7. Prof. Makame Mbarawa Mnyaa - Kuteuliwa PEMBA.
8. Dkt. Philip Isdor Mpango - Kuteuliwa KIGOMA.
9. Dkt. Medard Matogolo Kalemani - Chato, GEITA.
10. Angella Jasmine Kairuki - Viti Maalum(wafanyakazi) KILIMANJARO.
11. Prof. Palamagamba John Kabudi - Kuteuliwa DODOMA.
12. Dkt. Augustine Philip Maiga - Kuteuliwa IRINGA.
13. Dkt. Hussein Ali Mwinyi - Kwahani, UNGUJA.
14. Mwigulu Lameck Nchemba - Iramba Magharibi, SINGIDA.
15. Dkt. Hamis Andrea Kigwangalla - Nzega Vijijini, TABORA.
16. William Vangimembe Lukuvi - Ismani, IRINGA.
17. Charles Paul Mwijage - Muleba Kaskazini, KAGERA.
18. Prof. Joyce Lazaro Ndalichako - Kuteuliwa, Kigoma.
19. Ummy Ally Mwalimu - Viti Maalum, TANGA.
20. Dkt. Harrison George Mwakyembe - Kyela, MBEYA.
21. Eng. Isack Kamwelwe - Katavi, KATAVI.


*_MANAIBU WAZIRI NA MAJIMBO YAO WANAPOTOKA._*

1. Josephat Sinkamba Kandege - Kalambo, RUKWA.
2. Joseph George Kakunda - Sikonge, TABORA.
3. Kangi Alphaxard Lugola - Mwibara, MARA.
4. Anthony Peter Mavunde - Dodoma Mjini, DODOMA.
5. Stella Alex Ikupa - Viti Maalum(Walemavu), MBEYA.
6. Dkt. Mary Machuche Mwanjelwa - Viti Maalum, MBEYA.
7. Abdallah Hamis Ulega - Mkuranga, PWANI.
8. Eng. Atashasta Justus Nditiye - Muhambwe, KIGOMA.
9. Elias John Kwandikwa - Ushetu, SHINYANGA.
10. Dkt. Ashatu Kachwamba Kijaji - Kondoa, DODOMA.
11. Subira Hamis Mgalu - Viti Maalum, PWANI.
12. Stanslaus Haroon Nyongo - Maswa Mashariki, SIMIYU.
13. Dkt. Susan Alphonce Kolimba - Viti Maalum, NJOMBE.
14. Eng. Hamad Yusuf Masauni - Kikwajuni, UNGUJA.
15. Japhet Ngailonga Hasunga - Vwawa, SONGWE.
16. Angelina Sylvester Mabula - Ilemela, MWANZA.
17. Eng. Stella Martin Manyanya - Nyasa, RUVUMA.
18. William Tate Ole Nasha - Ngorongoro, ARUSHA.
19. Dkt. Faustine Engelbert Ndugulile - Kigamboni, DAR ES SALAAM.
20. Juliana Daniel Shonza - Viti Maalum, SONGWE.
21. Juma Hamidu Aweso - Pangani, TANGA.

*_Hapa Kazi TU._*

_MUNGU MBARIKI RAIS JOHN MAGUFULI._

_MUNGU IBARIKI TANZANIA._
 
Back
Top Bottom