Ukame unanitesa, vipi hali ya ukame pande zako?

Fredinho

JF-Expert Member
May 18, 2016
969
1,137
Hii hali ya ukame inanitesa wadau, mvua hazinyeshi pande hizi, mahindi yangu niliyopanda yamejikaukia, ukame huu mpaka lini? Vipi hali ya ukame pande zako mdau?
 
Piga magoti usali. Watabili wa hali ya hewa walisema mapema kuwa mwaka huu hakuna mvua wakiimply kwamba mwaka 2017 ni njaa. Cha ajabu mpaka sasa serkali haitaki kutoa taadhali ya njaa 2017. Na mkulu alisema hatoi chakula cha msaada.
 
tuilaumu tu serikali maana hakuna namna imekataa kutuletea mvua
Hii hali ya ukame inanitesa wadau, mvua hazinyeshi pande hizi, mahindi yangu niliyopanda yamejikaukia, ukame huu mpaka lini? Vipi hali ya ukame pande zako mdau?
 
Wazungu waeweka vipingamizi hadi kwenye mvua, misaada hakuna hadi mvua hakuna kunyesha,. ***** hainyeshi mpaka kimeta wampui aka faru john ateuliwe kuwa mkuu wamkoa
 
Hii hali ya ukame inanitesa wadau, mvua hazinyeshi pande hizi, mahindi yangu niliyopanda yamejikaukia, ukame huu mpaka lini? Vipi hali ya ukame pande zako mdau?
Karibu town, mimi mambo kilimo niliwachia wazee huko kwetu ngara. salon kwa siku 20-45k, na mashosti kibao Approx gunia 10-15 za mahindi kwa mwezi. So miezi 6 (msimu mmoja) sawa na gunia 60. Na nipo mrembo ukiniona utadhani under 17.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom