Do hatari walianza dereva na abira wote wavae helmet.Habari zenu wadau..
Dah hii iko vp kuhusu ukamataji wa bodaboda kwenda posta.. yaani ukipita na pikipiki tu wanakamata especially pale salendar bridge.. kwa sisi ambao tunafanya biashara ndogo inaleta changamoto kumuwahi mteja.