Ukahaba unaoruhusiwa na Serikali ya Korea kaskazini kwenye mtaa wa Kippumjo

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
Mtaa wa kippumjo ndo eneo pekee ambako kuna mkusanyiko wa wanawake zaidi ya elfu moja kwa ajili ya kufuraisha watu, wanawake hao wanaitwa manjokcho umri wao ni miaka 14-20 ambao hawajaingiliwa na mwanaume yeyote, ambao huonekana wazuri zaidi huchaguliwa kuolewa kabisa na walinzi wa Rais wa Korea kaskazini.

Maeneo mengine huduma hizo haziruhusiwi hata kidogo na ni kosa kisheria kufanya ukahaba ndani ya Korea kaskazini mpaka eneo ilo tu lililoruhusiwa na Serikali ya Korea kaskazini.

Ikumbukwe kwamba si kila raia wa Korea kaskazini anaruhusiwa kununua sijui mnaita papuchi hapa JF.

Hiyo huduma ni kwa ajili ya wafanyakazi wanaotambulika Serikali, yaani Chama cha wafanyakazi cha Korea, tena wafanyakazi wa ngazi ya juu ndo huruhusiwa tu kufanya manunuzi, pia wageni waalikwa uruhusiwa kufanya manunuzi.

Wanawake wanaopelekwa eneo hilo uhudumiwa na Serikali ya Korea kaskazini.Bei yao siyo constant wanabadirisha kulingana na msimu, au kulingana na wanayekutana naye ana cheo gani.

Britannica
 
Kwaio huwezi hata kuandika wageni waalikwa? Ongezea hii barabara za lami huko Korea Kaskazini zina madaraja kuna Lane huruhusiwi kupita kama wewe sio kiongozi, pia kumiliki gari ni mpaka upewe kibali maalumu
 
Nawakirisha mkuu wa Ikuruu
 
pictures speaks louder than words,ushahidi wa picha ni kielelezo kizuri cha ubora wa habari yako hapa mkuu,japo tuwatazame ili tuhakikishe kama kweli wanafaa kwa wageni..
 
pictures speaks louder than words,ushahidi wa picha ni kielelezo kizuri cha ubora wa habari yako hapa mkuu,japo tuwatazame ili tuhakikishe kama kweli wanafaa kwa wageni..
Sure but ...
 
Kwaio huwezi hata kuandika wageni waalikwa? Ongezea hii barabara za lami huko Korea Kaskazini zina madaraja kuna Lane huruhusiwi kupita kama wewe sio kiongozi, pia kumiliki gari ni mpaka upewe kibali maalumu
Hiyo ya kumiliki gari mpaka kibali imeniboa.Nimekumbuka huku kwetu miaka ya 80 ukiwa na video cassette unaitwa muhujumu uchumi.
Siasa za ukomunist wakati mwingine mateso.China,Russia wamerekibisha ukomunisti wao.
Na sisi ule ujamaa wetu tumeurekebisha tuko vizuri
 
Back
Top Bottom