Ukahaba huu Msamvu Morogoro ni hatari

Mathanzua

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
10,570
2,000
Wanabodi nianze kwa kuwasalimu wote,

Naomba kuelezea masikiiko yangu makubwa juu ya hali ya ukahaba unaofanyika Msamvu karibu na stand kuu eneo la maduka na kwa kina mama nitilie wakati wa usiku, ni hatari sana ukichukulia sheria ya usalama barabarani ya kuzuia mabasi yanayotokea mikoani kulazimishwa kulala pale baada ya saa 4 za usiku.

Kunakuwa na abiria wengi na wasichana wanajiuza na wanafanya ufusika huu nyuma ya magari au chini ya malori au nyuma ya mabanda bila kificho, na bei zao ni sh 2000.

Nimeshuhudia uchafu huu ambao ni njia mojawapo ya kusambaza maambukizi ya virusi vya UKIMWI.
The Devil is let loose,imebakia kujidhihirisha rasmi tu kwamba he is in control.Kama unataka jilinde wewe na familia yako,and there is no going back.Huu ndio ukweli.
 
Gemini Are Forever

JF-Expert Member
Sep 10, 2019
1,251
2,000
HahahahaahahHa
Yaani mturuki akishamwona anayemfaa anashika mkono anasepa nae, anatoa simu anaenda sehemu ya calculator anaandika bei anamwonyesha mdada. Hiyo imeisha, hakuna kuongea! Yan kwa jinsi walivyokuwa wanabanwa hao jamaa hzo siku wakiruhusiwa yaan ni kushindana na papuchi tu usiku mzima!
 
karv aveki

JF-Expert Member
Dec 26, 2019
314
1,000

Hapo kwa waturiki kuna wanawake kibao wametolewa marinda na wengine nimesomanao primary school yan mtu katoa nyuma sababu ya elfu 50 tu halafu gharama za matibabu zimekuja kama laki 3 na zaidi
 
Riyan

Member
Nov 10, 2021
80
150
Hapo kwa waturiki kuna wanawake kibao wametolewa marinda na wengine nimesomanao primary school yan mtu katoa nyuma sababu ya elfu 50 tu halafu gharama za matibabu zimekuja kama laki 3 na zaidi
ukitaka kujionea waturuki wanavyosaga papuchi

nenda kilosa morogoro kwenye ile SGR

jamaa wajinga sana yanu hajali huyu n nani au nani anashika mkono twende na mwanamke kama akiwa mjinga ndo basi tena.

mabinti wanaliwa sanaaaaa aiseee

hivi hawakupewa awareness au,??

UONGOZI WA KILOSA MKO WAPI??
 
karv aveki

JF-Expert Member
Dec 26, 2019
314
1,000
ukitaka kujionea waturuki wanavyosaga papuchi

nenda kilosa morogoro kwenye ile SGR

jamaa wajinga sana yanu hajali huyu n nani au nani anashika mkono twende na mwanamke kama akiwa mjinga ndo basi tena.

mabinti wanaliwa sanaaaaa aiseee

hivi hawakupewa awareness au,??

UONGOZI WA KILOSA MKO WAPI??
Hata huko ninakokwambia n SGR imepita na wameweka kambi kabisa kuuubwa
 
mjingamimi

JF-Expert Member
Aug 3, 2015
32,111
2,000
Hapo ni kisanga mzee nishawahi kukutana na kama saa 9 iv dah ngoja nisiendelee
Ndioo maana dar matukio ya kubaka NI machache utake wewe kubaka.
Wale wadada walikuwa 3 Wana makalio ya kutosha.
Elfu 7 yeye 5 anampa Babu .jumla 12,000
 
Sakasaka Mao

JF-Expert Member
Sep 29, 2016
7,386
2,000
Hivi kuna raha gani kugonga K ya kununua ambayo kila mtu anachopeka uboho wake
Kumbe wewe haujui ya dunia mkuu.

Umalaya ni starehe kama ilivyo kupenda na kushabikia mpira.

Mtu aweza kuwa na ndoa yake vizuri tu, lakini akawa ni malaya m'bwa na umalaya si kigezo ama kipimo cha upendo!

Umalaya ni kama ujambazi wa kutumia silaha!

Majambazi wote si masikini wanaosaka mitaji, hapana.

Wengine ni matajiri, ila furaha yao ni kuona binadamu mwenzake anavyobabaika baada ya kuvamiwa, familia inavyolia na kuomba wasidhuriwe, wanavyojificha uvunguni na kwenye makabati nk nk, halafu yeye anasunda chochote apendacho kama aliwekeza kiulaini kabisa.

Sasa na kwenye umalaya ni hivyo: ni kupenda kubaka ama kubakwa kwa pesa, kupenda kujadili kupunguziana bei ya kuzini kama bidhaa, kutamkiana matusi wakati wa kutakana ama kufanya mapenzi, ambapo mume ama mke hawezi kutamkiwa hayo aslani nk nk.

Pia miitindo ya ajabu ajabu inayotumika katika kutekeleza adhima zao hizo ndiyo kivutio na starehe zao.

Halafu wanakwambia "haina shombo"!

Unapochopeka na kung'ang'ania kifuani kwa muda mrefu na mwenzako kangojelezea, usishangae kupigwa bega na jitu na kuambiwa: "oyaa fanya fasta huyo si mkeo, wengi tunamtaka na tumemsubiriaaa tupo kwenye foleni!"

Ni unyama lakini ni starehe za watu tutafanyaje!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
48,250

Dah mie nipo tofauti aisee K za mafungu huwa siziwezi
 
uhurumoja

JF-Expert Member
Mar 2, 2014
2,660
2,000
Raha ya msichana umuone umpende kisha utongoze akubali ndio unakula kwa raha ila wale hapana aisee
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom