Ukaguzi wa Gwaride na Sherehe za Idd El Hajj

ExpertBroker

JF-Expert Member
Jun 1, 2009
454
107
Respect Wakuu,
Jamani mwenzenu naomba msaada katika hili. Juzi kule Zanzibar sherehe za sikukuku ya Idd El Hajj ziliambatana na Rais wa Zanzibar, Dr. Ali Mohamed Shein kugakuwa gwaride la jeshi la polisi! Je, hii ni sikukuu ya kitaifa ama ya kidini! Ninatumaini hapa nitapata jibu!
 
Ile ni nchi ya kiislam, ibada za kikristo haziruhusiwi
 
hIVI HAYA NI KWELI YALITOKEA???? MBONA SIELEWIELEWI!

Nimeona mwenyewe kwa Tv mkuu ndio maana nikaleta dukuduku langu hapa. Nikahisi labda kwa sababu wengi tumekuwa bize na mchakato wa uchaguzi inawezekana mambo yalishabadilika! Je, tutegemee Pasaka na Christmas pia uwanja wa taifa Rais Kikwete akikagua gwaride?
 
ndio maana tunasema haka kamuungano tukatoe maana hakatutendei haki,

As long As wao ni part ya Tanzania, hii kitu itabaki kuwa ya kidini, and any political party or government party akishiriki ashiriki kama muumini na si kama title yake, Hii nchi ya Tanzania haina Dini so Zanzibar too as part of,

Wanaendelea tu kuvunja katiba halafu tukijibu mapigo wanaanza kuongea kwa taarabu bungeni, eti ooooh sisi ndio wenye nchi,

Sheria imevunjwa hapo if it is true alikagua gwaride kwenye sikukuu ya idi abdala salum
 
Sishangai maana hivi majuzi kuna kiongozi wa kidini wa zanzibar aliyefia nje maiti yake ilipoletwa ilipokelewa na JWTZ kwa gwaride ila haya mambo wanayoyafanya ni si uungwana na hayakubaliki kwa jamii ya watu ambao ni wastaarabu.
 
wanasema watu wasichanganye dini na siasa wakati makamu wa rais kachanganya siasa na dini juzi katamka msikitini wakati wa sheree ya iddi juma kuwa swala la mahakama ya kadhi litapata utatuzi soon
 
kamoon elimu akhera ni hatari kweli kweli! udini mwauona zenji tuu tanganyika nao humo!
 
Huu ni Muunganiko wa Nchi mbili tofauti; kuunganisha nchi hakumaanishi kuacha tamaduni za wananchi. Gwaride ktk sikuu za kiislam Zanzibar, ni utamaduni wa Zanzibar tangu enzi hata wakati wa utawala wa Uingereza lilifanyika. Tanganyika km imepoteza tamaduni zake hilo ni tatizo la tanganyika, zanzibar haliwahusu.

Ila tujiangalie sn na mwenendo wetu huu wa kuchukia kila kitu hata km hakikuhusu, ukiwa na chuki ya kitu fulani hata iweje utaendelea kukichukia tu hadi unarudi mavumbini but you will never ever change it. Wazanzibari wapo na wataendelea kuwepo ktk ulimwengu huu hadi mwisho wa dunia na wanaoichukia Znz waendelee kuichukia.
 
Nimeona mwenyewe kwa Tv mkuu ndio maana nikaleta dukuduku langu hapa. Nikahisi labda kwa sababu wengi tumekuwa bize na mchakato wa uchaguzi inawezekana mambo yalishabadilika! Je, tutegemee Pasaka na Christmas pia uwanja wa taifa Rais Kikwete akikagua gwaride?

ha ha ha umenifurahisha na swali lako

Huu ni Muunganiko wa Nchi mbili tofauti; kuunganisha nchi hakumaanishi kuacha tamaduni za wananchi. Gwaride ktk sikuu za kiislam Zanzibar, ni utamaduni wa Zanzibar tangu enzi hata wakati wa utawala wa Uingereza lilifanyika. Tanganyika km imepoteza tamaduni zake hilo ni tatizo la tanganyika, zanzibar haliwahusu.

Ila tujiangalie sn na mwenendo wetu huu wa kuchukia kila kitu hata km hakikuhusu, ukiwa na chuki ya kitu fulani hata iweje utaendelea kukichukia tu hadi unarudi mavumbini but you will never ever change it. Wazanzibari wapo na wataendelea kuwepo ktk ulimwengu huu hadi mwisho wa dunia na wanaoichukia Znz waendelee kuichukia.
Waambie kuwa chuki zina zeesha!
 
sioni kama watz wanaichuki zbar, wanahoji juu ya mambo ambayo wanaenda extraordinary, mfano paredi ya jeshi siku ya kidini, kwa kuwa wewe unaona ni sawa toa maelezo ya usahihi wake
 
Ni sawa kwa kuwa hakuna kipengele cha katiba ya zanzibar kilichovunjwa. Km kuna kipengele cha katiba ya zanzibar kimevunjwa kitaje.
 
Back
Top Bottom