Ukaguzi vyeti feki sasa kutua elimu ya juu

Hussein J Mahenga

JF-Expert Member
Mar 5, 2012
745
633
Serikali imesema inaandaa utaratibu wa kuhakiki vyeti vya taaluma vinavyotolewa na vyuo vya elimu ya juu vya ndani na nje ya nchi.

Wakati hayo yakielezwa, watumishi wa umma 14,409 wamebainika kuwa na vyeti vya kughushi huku 1,907 wakiwa hawajawasilisha vyeti kwa ajili ya kuhakikiwa licha ya Serikali kutoa muda wa kutosha kwa watumishi hao kuwasilisha vyeti vyao Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) kwa ajili ya uhakiki...

Hayo yalielezwa jana na Katibu Mkuu Utumishi, Dk Laurean Ndumbaro wakati akipokea taarifa ya sita na ya mwisho ya uhakiki wa vyeti kwa watumishi wa umma iliyotolewa na Katibu Mtendaji wa Necta, Dk Charles Msonde
 
wasisahau na policccm
 
vyeti vya vyuo watawezaje kuvikagua wakati kila chuo kinatoa Vyeti kivyake?in fact Vyeti vya vyuo vimezagaa kuliko hata vya necta
 
Tatizo wapo slow mno hii ni kazi ya muda mfupi sana na kufanya watu waendelee na kazi nyingine.
Kwa upande mwingine zoezi ni muhimu sana wapo waliojipatia vyeo kwa degree feki na ndiyo wanaotoa huduma feki!!
 
zoezi zuri ila ni muhimu kwa sasa lianzie tiss,jeshi,polisi ,magereza please
 
Hao wa kisiasa ndo hawawakagui, no wonder wanatoa maamuzi ya kipuuzi kabisa na yanatuathiri wote kwa sababu huenda mazuzu wengi ndo wamejificha humo na huo ukaguzi hauwafikii
 
Back
Top Bottom