Ukaguzi aliofanyiwa CAG na Spika umedoda?

eliesikia

JF-Expert Member
Oct 29, 2010
787
755
Hivi ule ukaguzi wakapewa kamati waufanyie kazi wamekwama wapi?

Wanashindwa kupika conclusion kabisa? Au wanamuogopa atafumuka na facts iwe kero tupu?
 
Hakuna cha maana pale kungekuwa na kitu Supika angekuwa ameshatangazo jimbo la CAG lipo wazi siku nyingi and CAG mwingine ameshaanza kazi.
 
Back
Top Bottom