Hivi ule ukaguzi wakapewa kamati waufanyie kazi wamekwama wapi? Wanashindwa kupika conclusion kabisa? Au wanamuogopa atafumuka na facts iwe kero tupu?