Ukabila na udini tanzania unaletwa na wasomi kama wengi wenu mlivyo hapa jamii forum.........!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukabila na udini tanzania unaletwa na wasomi kama wengi wenu mlivyo hapa jamii forum.........!!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by fazili, Jun 11, 2011.

 1. f

  fazili JF-Expert Member

  #1
  Jun 11, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 1,192
  Likes Received: 404
  Trophy Points: 180
  Kiwango cha hisia za ukabila na udini kwenye blog kama ni kikubwa mno kulinganisha na jinsi ilivyo kule mtaani. huko mtaani watu hawazungumzii wala kuleta hisia zenye kuchochea udini na ukabila kwa kiwango kikubwa kama ilivyo hapa

  wengi wetu tunaotumia jamii forums tupo juu ya wastani wa mtz wa kawaida kielimu na wengi hapa ni secondary school livers na college graduates lakini ndio tunaongoza kwa kulikoroga kisawasawa

  kama ukabila na udini vitatumbukiza taifa letu kwenye vurugu basi madhila hii itakuwa imeandaliwa vyema na wasomi wachache wa nchi yetu na hawa watabeba dhambi hii mabegani mwao!
   
 2. C

  CHRIS CM Member

  #2
  Jun 12, 2011
  Joined: Jun 12, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  haina mvuto, hebu unda upya.
   
 3. Chuma Chakavu

  Chuma Chakavu JF-Expert Member

  #3
  Jun 12, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,524
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  but i think the guy has got a point somewhere!
   
 4. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #4
  Jun 12, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mkuu umeeleza ukweli kabisa. Udini umezidi hasa hapa JF. Mimi ilifikia kipindi nikapendekeza ifungwe kwani inatupeleka kubaya. Mtu hajadiliwi ila kwa dini yake. Thank you kwa post yenye maono.
   
 5. Nanren

  Nanren JF-Expert Member

  #5
  Jun 12, 2011
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 1,739
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160

  Umeongea ukweli ndugu yangu.
  Hisia hasa za kidini zinakua sana hapa jamvini. Zinaishia kutugawa zaidi badala ya kutuunganisha.
  Natamani ningekuwa na MAPESA, ningewalipa Mods wawe wanapitia kila post kabla haijabandikwa na kuziondoa zile zinazotugawa.
  Kitu kimoja tukumbuke, ni kuwa Tanzania ni yetu sote sisi watanzania. Tukijenga chuki sasa hivi, ni watoto wetu ndio watakuja kupata tabu na kupigana hapo hapo nyumbani. Tujenga umoja na tuheshimiane kwa manufaa ya nchi na sisi raia wake wote.
   
Loading...