Ukaaji wa majaji kwenye kiti cha mbele.

tz1

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
2,121
534
Ni kwa nini majaji wa Tanzania wanakaa kiti cha mbele kwenye magari yao ya kazi?
Wakati waheshimiwa wote wana kaa viti vya nyuma
 
Duh JF ni noma, swali na jibu!
Hata huyu msomi wa Harvad University lakini bado mshamba tu!!

1.jpg
 
Teh teh vasco kazini! Nae kaaga nyumbani anaenda kazini!
 
Back
Top Bottom