UK yaichambua Tanzania, yaishangaa na kuibeza, tunaongoza kuombaomba kama nchi zilizokuwa vitani

hizo dhahabu si wanachukua wao? Wangekua na huruma na sisi watanzania wangekua wanunuzi tu na si wachimbaji
 
hizo dhahabu si wanachukua wao? Wangekua na huruma na sisi watanzania wangekua wanunuzi tu na si wachimbaji



juzi katika lile jaribio la kuiba dhahabu geita uliona taarifa ilivyotofautina na ya serikali...serikali ilikuwa ina taarifa kuwa makasha 8 ndo yanasafirishwa lakini pale uwajanji yalionekana zaidi ya maksha 16 yanasafirishwa.......tunaibiwa mchana kwelupe peee
 
Kumbe Tendwa,Werema na chakua chako mapema walikuwa na deal na RH na Kafulila sasa wanahaha hela walizopewe wampe auwe CHADEMA kisha cough wanahaha mpango umekwisha kabla ya kufanikiwa, mwenye habari nzuri juu yao mwaga haradhani
 
Kama kila kitu kikisemwa na Uingereza wewe unakifuata na kukikubali basi kubaliana na mpango wa Waziri Mkuu wa Uingereza James Cameroon..

Nchi isha kuwa matonya hii wana ubavu gani?? Kwani serikali imekataa lini mpango wa David (not James) Cameron (not Cameroon). Cameroon ni nchi ipo west Africa!!!
 
Kama kila kitu kikisemwa na Uingereza wewe unakifuata na kukikubali basi kubaliana na mpango wa Waziri Mkuu wa Uingereza James Cameroon..

Ni kwa kiasi gani usivyo makini,James ni nani huyu? Acha kukurupuka hovyo wewe
 
Kama kila kitu kikisemwa na Uingereza wewe unakifuata na kukikubali basi kubaliana na mpango wa Waziri Mkuu wa Uingereza James Cameroon..

Camerooooon alisema, anayehitaji msaada ni shart akashikishwe kwanza ukuta(asalamalekhum walahi), look here, ukisha shika kwanza ukuta baada ya hapo ndo unapata ka msaada tena in very low amount ili baadae ukashike tena ukuta. Asa wewe ukiwa unalijua hilo unaenda kuomba msaada japo anajitahidi ku kuonesha kuwa salio ulilonalo linatosha ku kunusuru usiende kushika ukuta we bado unaona unanyimwa haki yako ya msing(kushika ukuta), asa cc tukueleweje ndugu? Mtu anaku kosoa kwa sera zako za kiuchumi we unamwona mjinga, asa tuseme unapenda kunaniliwa kwa kitu kidogo au hata for free. Hebu funguka mkuu, sio kila kitu unashabikia tuu, some times you hav to be serious n look beyond jokes my bor.
 
Zambian economist Dambisa Moyo claims 50 per cent of UK aid will end up in the bank accounts of corrupt bureaucrats, in banks that are not even in the country where aid is supposed to go due to a lack of administrative infrastructure to allocate the money and efficient accountability mechanisms to oversee that the money is going to the right places. Tanzania has vast mineral resources and the means to develop itself; yet fifty years after independence it remains Africa’s largest recipient of aid with the British tax payer being the largest unilateral donor.

naoana hasira zinanizidi................. ngoja nikapate maji ya dhahabu hapo nje kwanza.....................
 
Ni kwa kiasi gani usivyo makini,James ni nani huyu? Acha kukurupuka hovyo wewe


kakurupuka majina yote mawili..badala ya kuandika Cameron ..yeye kaansika Cameroon(hii ni nchi na si jina la mtu)
 
Kama kila kitu kikisemwa na Uingereza wewe unakifuata na kukikubali basi kubaliana na mpango wa Waziri Mkuu wa Uingereza James Cameroon..

Okey ngoja niseme mimi, Tanzania ni nchi ya tatu afrika kwa kuzalisha dhahabu na inapokea aids nyingi sana kutoka ktk mataifa mbalimbali ya magharibi na sehemu nyingine kadha wa kadha lakini imeshindwa kupunguza umaskini wa nchi hii kwakiwango kinachostahili misaada iyo na rasilimali hizi zilizopo Tz tangu miaka 50 ya uhuru.
Hapo vp?
 
Ta muganyizi

Nashauri pia utafute andiko la Mwalimu Nyerere inayoitwa "Argue Dont Shout" aliyoitoa julai 1969. Katika andiko hilo, Mwalimu anezungumzia suala la misaada. Itafaa kusoma andiko hilo il uweze kuwa na 'balance argument'. Nanukuu aya moja tu hapa chini:

"....For self relience means only that self knowledge and self confidence. It does not mean isolationism; nor does it mean that we cannot accept help and cooperation from others if this can be obtained without humiliating conditions or outside control over things which are of exclusive concern to us. So called aid is often justified compesation. In the world which we live in,where the prices of primary products continuously fall-to the benefit of the rich- and those of manufactures rise-again to the benefit of the rich and detriment of the poor- "aid" is compesation. in a just world there would have been a built-in machinery which automatically compensates the poor countries against the inevitable disadvantages to them of the international trade. In the absence of auch automatic compesation, the little so-called "aid" which get is really out right, and its not enough! Not to take it on the grounds that it conflict with self reliance is absurd!"

Tafakari

Mkuu usemayo ni sawa lakini sio kwa sasa. Je is it benefiting the Tanzanians. Haya maneno aliyasema mwalimu aliyekuwa akipokea misaada hiyo. Sasa ona maneno ya anayetupa mwenyewe..........kama umesoma between lines

"However, Mark Lowcock, Permanent Secretary at DfID has confessed to the PAC that he does not know how much of DfID's aid money was lost to fraud and corruption. ‘Poor people in developing countries expect the aid and debt relief received by their government to be spent in ways which actually improve their lives. Similarly, taxpayers in rich countries expect finance to poorer countries to be spent on fighting poverty.' It is not suggested that UK cuts aid to Tanzania but, it is suggested that whilst issues of poor governance are ignored, corruption flourishes with impunity. As a result, the lives of the Tanzanian poor will not be sustainably relieved and the British tax payer will not get value for money in respect of its aid programme."
 
Hiki kipande hapo chini kinatufanya tuonekane hatuko makini na hatujui tulitendalo

The director of the International Centre for Tax and Development Research, Professor Odd-Helge Fjeldstad, observes that Tanzania is good at chasing donor money and argues that if efforts chasing donor funds were reduced by one per cent and redirected to increase local revenue collections, the treasury coffers could have increased. He highlights the negative relationship between aid funds and revenue collection. A recent study argues that if corporate tax had been paid on the 2010 revenue of Barrick Gold at the US Federal rate of 35 per cent, the monies raised would have been in the region of (Tanzania Shillings) TZS225 billion (approx. US$141,432,935.64).
 
Kama kila kitu kikisemwa na Uingereza wewe unakifuata na kukikubali basi kubaliana na mpango wa Waziri Mkuu wa Uingereza James Cameroon..

Majibu -mkato ndiyo tatizo la Watanzania wengine kama wewe.Ndio maana kujivua umaskini itabakia ndoto.
Ni vizuri kukubali kukosolewa.Wewe unaona Tanzania ni nchi ya kujivunia kwa umaskini tulio nao?
Grow up kifikra bwana.
Ukweli ndio huo, au utuletee ukweli wako tofauti na huo.

 
yani namwonea huruma sana raisi ajae....manake huyu tulienae ameimaliza nchi kabisa....madeni yaliyolipwa na mkapa yamerudi mara 800 hela hakuna kabisa hazina, kila kitu hakiendi sawa....hivi wazee wazalendo waliobakia wananini cha kufanya kurescue hii hali???

ukimuuliza raisi kama tunaendelea au la anakuambia foleni dar ni dalili ya uchumi kukua....ukimuuliza kuhusu tatizo la nishati anakuambia kwani yeye ni mungu hata alete mvua...ukimuuliza kuhusu safari za nje anakwambia mnaosema hamjui tu hii misaada tunaitoa wapi....daaaaaaaah sasa hao wanaotoa misaada wameanza kutudharau.... mi nachoka sana i wish i cud have some capabilities to change this condition....poor tz poor leadership poor poor poor...

Ukimuuliza Raisi kwa nini sisi ni maskini anasema hajui kwa nini sisi ni maskini?
Kama ni hivyo basi Ukimuuliza kwa nini anazunguka nchi za ulaya na marekani kuombaomba? anakujibu kuwa sisi ni maskini?
Ukimuuliza kwa nini pamoja na kuleta wawekezaji uchumi unazidi kuwa mbaya anakuambia watanzania mmezidi kulalamika!
Ukimuuliza mbona sera ya kilimo kwanza haioneshi mafanikio anakujibu yeye si Mungu alete mvua!
Ukimuuliza mbona anasema Serikali haina pesa wakati kuna mafisadi wachache wamejilimbikizia fedha mpaka nchi za nje anajibu mahakama inashughulikia hiyo hoja hivyo tuache kuhoji!
Ukimuuliza mbona kesi za waizi wa kuku zinachukua muda wakati za mafisadi zimekwenda harakaharaka anakujibu Wengi wa wanaohisiwa ni mafisadi ni watendaji wakubwa wa serikali hivyo ni muhimu sana kwa utumishi!
Ukimuuliza mbona chama chake kimeshindwa kuyavua magamba atakujibu tukiamua ki ukweli kuyavua magamba yote hata baki mtu hata mmoja ktk chama!
Ukimuambia mbona wa tz wanazidi kuwa maskini atakujibu wa tz wavivu!
 
anayeenda kumuomba misaada inayo kufanya ukenue na kutapika nyongo humu unamjua?
ni bora ungemuuliza wazi kabisa ritz, kikwete anavyotembeza bakuli na kupokea misaada ikiwemo ya uingereza naye amekubali masharti ya cameron?
 
Kama kila kitu kikisemwa na Uingereza wewe unakifuata na kukikubali basi kubaliana na mpango wa Waziri Mkuu wa Uingereza James Cameroon..

Hivi watu wengine bana wee upo kuilinda Serikali humu Jamvini kwa lolote lile? hivi unafahamu kwamba yanayosemwa ni ya kweli ndiyo maana Serikali imekaa kimya. Ingekuwa ni uzushi ungemsikia Salva wa Ikulu angepiga kelele kaa nini. Binafsi nikiwa nje ya nchi huwa naogopa kujitambulisha kama Mtanzania kwasababu moja kwa moja nitachukuliwa kama nina uwezo wa kufikiri wa aina za akina Kkwete.
 
Back
Top Bottom